Si Kitanda Lala Wawili... Bali Kitendawili....

t
Nimehisi tu..lol
Dozi wiki nzima..Tumia mseto..Dozi ya mara moja tu unakuwa sawa..

Asante Kaboom, nnazivuta hivi hadi jumatatu ntakua sawa kabisa ndo naamsha amsha kuzivuta genye... Aahaahahah
 
Ukisimama inakuwa mbele, ukikaa inakuwa kati na ukiinama inakuwa nyuma.

Bado umesahau ukichuchumaa, ukiwekwa deatath of cockroach, halafu mikao ya vijana popo kanyea mbingu..

Ina mashavu pande 2, ina mdomo usio na meno na pua isio na tundu ya kunusia!! Utamu wake hunoga ukitia ulimi wa pua, ama kutia bakora huku pua kwa kidole waisugua...

Makaveli nimejikuta nasoma huku nimefumba macho ahahahaha
 
Ukizidiwa piga 911..

Nimempa mtu kitendawili chako kasema nimfwate baadae anionyeshe jibu..Nikipata ntarudi..
 
Ndio mwanzo wa raha huo, ukiwa walambwa pua isiyo na tundu lazima ufumbe macho kwa hisia, yote 9 pumzi zitakuwa kama zinataka kukata lakini unamuombea mnyonyaji asikatishe zoezi la kukupa utamu wa pua a.ka kisim chenye dole gumba..
 
Hahahhahaa nikipiga 911 atapokea nani?

Daaah namuonea wivu huyo anayeenda kukutegulia kitendawili....

Msalimie.
 
Ndio mwanzo wa raha huo, ukiwa walambwa pua isiyo na tundu lazima ufumbe macho kwa hisia, yote 9 pumzi zitakuwa kama zinataka kukata lakini unamuombea mnyonyaji asikatishe zoezi la kukupa utamu wa pua a.ka kisim chenye dole gumba..

Aahahahahahahhaaa kweli waswahili walisema mwaga ugali ninwage mboga khaa sina hamu hehehehhehee

Ila utakuwa na kiavuation pembeni yako wee makaveli wewe si buree aahahahhahaaa

Unanitamanisha tuu hapa mwenzio wee hayaa tuu.
 
Kinehee..

Darasa letu liliishia kati dada yangu!! Hebu tufanye mpango, tuanze pale tulipoishia.

Hayo sasa maneno, wewe ndo ulipotea.

Nnavopenda kusoma darasani mie khaa, usipokuwa timekeeper tunakesha aahahahahahhaa

Lini turejee darasani? Missing you kwakweli.
 
Aahahahahahahhaaa kweli waswahili walisema mwaga ugali ninwage mboga khaa sina hamu hehehehhehee

Ila utakuwa na kiavuation pembeni yako wee makaveli wewe si buree aahahahhahaaa

Unanitamanisha tuu hapa mwenzio wee hayaa tuu.

Hahaa.. sina bibie niko mie kama mie!!

Usikubali umwagwe ugali nawe umwage mboga, siku hzi akimwaga ugali sie tunakomba mboga.. mambo ya droo hatutaki, sifa ni kushinda game..

Kutamani ni kuendelea kuumia, karibu, ukaribie ujipakulie mwenyewe.. usijaze tumbo kwa mate ya uchu..
 
Hahahahhahaaa shkamoo babaa
Acha nijiongeze sina namna.

Maneno yako yameniingia sawia.
 
Hayo sasa maneno, wewe ndo ulipotea.

Nnavopenda kusoma darasani mie khaa, usipokuwa timekeeper tunakesha aahahahahahhaa

Lini turejee darasani? Missing you kwakweli.

Hahaa!! Mie masuala ya u"timekeeper siyawezi, raha ya darasa ni kusoma wee mpaka mmoja kati ya mfunda na mfundwaji aombe poo, mapumziko ya maji kulainisha koo..

Wewe tu, hata ukitaka darasa tulirejee leo mie sina tabu, mwanafunzi kama mwanajeshi hakuna visingizio, muda wowote yuko tayari tayari..

Missing you zaidi..
 
Ukisimama inakuwa mbele, ukikaa inakuwa kati na ukiinama inakuwa nyuma.

Bado umesahau ukichuchumaa, ukiwekwa deatath of cockroach, halafu mikao ya vijana popo kanyea mbingu..

Ina mashavu pande 2, ina mdomo usio na meno na pua isio na tundu ya kunusia!! Utamu wake hunoga ukitia ulimi wa pua, ama kutia bakora huku pua kwa kidole waisugua...
hiyo popo kanyea...mbin* nouma sana.....naisikia ila siiijui...kwani ni nini hicho...? popo ananyeaje mbingu sasa...?
 
Hahahahhahaaa shkamoo babaa
Acha nijiongeze sina namna.

Maneno yako yameniingia sawia.
Hahaaa!!! Marhaba napokea huku.. [emoji6][emoji6]. Shikamoo zinanyima vingi..

Natamani hii ingekuwa haya maneno ili ikuingie sawa sawia.. usawa wake usingekuwa na sawia hii!!
 
Msisahau kuwa hilo ndyo lango la wanadamu kuja Sayarini!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom