we mshana, mambo gani hayo?
Utakua umemchoka tu, kwahiyo umeona ndiyo nafasi yako ya pekee ya kumuacha
Very well saidIla kwakweli kuunguza chakula kwa sehemu kubwa ni uzembe..hakika unapoanza kufanya kazi yoyote lazima ujipe muda na ufuatilie wanawake na wanaume ni lazima wafahamu kuwa kupika ni kazi kama kazi nyingine uache kila kitu upike umalize na ufanye usafi ulipopikia na kuandaa meza simu, mazungumzo, Tv sio vitu rafiki wakati wa kupika ni lazima vitakuangusha
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]HALAFU ULIMKARIBISHA MFANYAKAZI MWENZIO KWA MSOSI WA MCHANA!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole kuku!... baadaya kuchinjwa unapata mazishi ya kihindi!...
Hahaahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]HALAFU ULIMKARIBISHA MFANYAKAZI MWENZIO KWA MSOSI WA MCHANA!
Isiwe hivyo iwe umealika wageni homDah halafu inakua siku ya sikukuu
Siku hizi unaonekana mara chache sana HP you goodHuyu mpishi alikwenda nyumba ya saba kupiga domo si kwa kuungua huku
Tena ushaalika wageni!!Dah halafu inakua siku ya sikukuu