Si kila talaka ni uonevu

Si kila talaka ni uonevu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,574
Reaction score
867,480
IMG-20161228-WA0009.jpg
 
hahaa mimi nilijua ni mke kasuka mtindo wa kuku/mbuzi kainama kapigwa picha kwa juu kumbe ni kitoweo kimeunguza kisa anachati fb/whatsup/jf
 
Kumbe kimsingi talaka ni "uonevu"
(ni mapendekezo ya kichwa cha habari)
 
hahaa mimi nilijua ni mke kasuka mtindo wa kuku/mbuzi kainama kapigwa picha kwa juu kumbe ni kitoweo kimeunguza kisa anachati fb/whatsup/jf
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13]
 
Mwenyewe ndio umejipiga umeleta kuku home halaf anakuwa mkaa
 
Du siajabu alikwa kwenye instagramu wakati kitwoeo kiko kwenye oven, mass media is a problem.
 
sasa unaweza kuta hajui kupika ila chumbani ana tuzo 100! sijui naanzaje kumpa talaka badala ya kumpeleka kozi ya kupika tu yaishe
 
sasa unaweza kuta hajui kupika ila chumbani ana tuzo 100! sijui naanzaje kumpa talaka badala ya kumpeleka kozi ya kupika tu yaishe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom