Si kila nyama choma ni ile ujuayo

Si kila nyama choma ni ile ujuayo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,485
Reaction score
867,274
1469073234527.jpg
 
West Africans wanakula vyakula vya ajabu sana.
Ivory Coast wanakula konokono.
 
Mi ikashakaa kwenye mkaa namna iyo unafkiri naiwazia? Ndio kwaanza naiagizia na ndovu tatu za baridi kuivutia speed
 
Mi ikashakaa kwenye mkaa namna iyo unafkiri naiwazia? Ndio kwaanza naiagizia na ndovu tatu za baridi kuivutia speed
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Alafu hii ya mwanzo inaonekana kama kichanga cha miezi sita vile[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Ndo maana magonjwa mengi mara ebora, zika na mengineyo ni sababu ya kula vyakula visivyoeleweka, hawa wanyama wengine wana magonjwa ambayo huweza kumuambukiza binadamu.
 
Ndo maana magonjwa mengi mara ebora, zika na mengineyo ni sababu ya kula vyakula visivyoeleweka, hawa wanyama wengine wana magonjwa ambayo huweza kumuambukiza binadamu.
mbona wachina hawapati hayo magonjwa na wao ndiyo wanaongoza kula kila kitu... MOLA ibariki Africa na watu wake atulinde na kutuongoza milele
 
huyo ni ndezi wandugu, ni mtabu balaa. hata nikiletewa leo hii namla. nimekua nikimla huyo enzi za utoto wangu.
 
Kawaida yangu ni kwamba kama nitanunua mishikak ya uswahili basi kama nitanunua ya buku 2 basi ujue ya jero lazima muuzaji aanze kula kabla cjaanza mimi.. Kama ni kimeo tule wote
 
Back
Top Bottom