burtons
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 280
- 86
Kwa kweli wadau sio kila mwanamke anaevaa sketi basi anapaswa kuolewa .
Wanawake wa kipindi hiki wamekua wabinafsi wanaojijali wenyewe na familia zao tuh yaan mama , baba yake au wadogo zake tuh . Na kutowajali ndugu wa upande wa mume wake . Hivyo kupata mke mwema ktk dunia ya sasa ni vigumu sana na kama mwanaume hautomtosheleza kimahitaji huyo mkeo basi ujue utaibiwa tuh maana atatafuta mbinu mbadala ili atimize hitaji lake .
Naomba kuwakilisha wana JF.