Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,821
Imekuwa ni fashion kwa wanasiasa kila anayekwenda Mara lazima aende kwenye kaburi la Nyerere. Imekuwa ni kasumba ya kwenda kujikosha ionekane kwamba wanafuata misingi ya Mwalimu. Lakini hebu niwaulize swali nyinyi mnakwenda hapo.
1. Je matendo yenu na ya Mwalimu Nyerere yanaendana?
2. Je falsafa zenu na za Mwalimu zinaendana?.
3. Je, uwajibikaji wenu na maono yenu na ya Mwalimu Nyerere yanaendana?
4. Je, CCM aliyoiasisi Mwalimu na itikadi yake ndiyo hii nyinyi mnaiendeleza?
5. Fikra za Mwalimu Nyerere na zenu zinaendana?
Majibu ya maswali haya ni hapana. Wapo wanasiasa hapa ni wachafu na wengine ndiyo magwiji ya CCM mtandao na yananuka rushwa lakini Leo wanasogeza pua zao kwenye kaburi la Nyerere. Guys, tafadhali sana ogopeni kwenda kumkasirisha Mwalimu. Najua Huwa akiwaona hapo anajaa hasira. Unakwendaje kwenye kaburi la Mwalimu wakati umeiba na kuwaibia watoto wako pesa za umma na Leo wanatembelea gari za 2.5 billion ilihali madaraka Nyerere mtoto wa baba wa Taifa anaishi maisha ya kawaida kabisa.
Unakwendaje kwenye kaburi la Mwalimu wakati wewe umeanzisha CCM mtandao na kuacha chama halisi? Unakwendaje kwenye kaburi la Mwalimu wakati wewe hata hutamki neno rushwa na ufisadi. Hata ilani ya chama chako haitamki. Pamoja na kwamba Mwalimu ni public figure lakini wapo watu hawapaswi kwenda hapo kwani wananajisi kabisa.
Nakuonba madaraka wengine wakiomba kuja hapo hasa wale wenye matendo maovu wakatalie. Mwalimu alikuwa msafi na mzalendo. Sipendi kuona matapeli yanageuza kaburi lake kama njia ya kujisafisha.
" Hasta la Victorie siempre"