Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

Hi guys

Kuna huyu mwenye nyumba wangu karibu miezi 2 sasa amekua akinipa lift asubuhi wakati wa kwenda kazini, mimi ni mgeni eneo hili, ni miezi nadhan mitatu sasa tangu nihamie hapo, niseme tu ukweli kuwa, nimekuja kupanga hapo baada ya kutengana na Mr wangu kwa Muda wakati mgogoro unasuluhishwa na wazee

Mimi ndie mpangaji pekee kwenye hiyo nyumba, tunaishi pamoja na mwenye nyumba na mkewe kwenye compound moja, wote wawili wana gari, awali, kwa heshima na maadili nilikua nasubiria lift ya mama lakini cha ajabu, anaingia kwenye gari na kuondoka kama hajaniona vile, ndipo baba akitoka ananipa lift

Sasa, baba mwenye nyumba amekua akanipa lift kila siku asubuhi maana tunatoka Muda unaofanana, kumbe Kuna ugomvi mkubwa unaendelea ndani ya familia hiyo sababu ya mimi kupewa lift kila siku, mama ana wasi wasi kuwa Kuna kitu kinaendelea kati yetu
Hata hivyo baada kuzoeana huyu bwana ameshaniomba niwe rafiki yake na amenipa pesa mara nyingi tu na ahadi ya kusamehewa kodi

Hivi karibuni, wakati naingia kwenye gari yule mwanamke alikuja kufanya vurugu na kutaka kunishusha kwa nguvu, fortunately, mumewe alimtoa kwa nguvu na sisi kuondoka, jioni nikakuta ameita watu wa welding akakata kufuli na kuweka lingine, nikakuta barua na kodi yangu kwenye bahasha kuwa niondoke jioni hiyo hiyo, nikamuita mjumbe akasema sheria hiyo haipo, ni lazima kodi iishe na notice itolewe, yule mama akagoma kufungua, tukampigia baba simu akaja akalikata nikaingia ndani

Sasa kwa udhalilishaji alionifanyia naenda kumkubali mumewe na kumpa immediately, sikua na Mpango huo licha ya kuchukua pesa zake sababu tayari nina matatizo yangu ya kutosha kuhusu ndoa na mapenzi, tumetengana na Mr Kutokana na migongano isiyoisha na pia nipo na boss wangu , hivyo sikutaka kabisa kujihusisha kimapenzi na baba mwenye nyumba, ila sasa naenda kumpa

Nonsense
Nampa nampa nampapapa
 
Kama hujampa usifanye hivyo,haya mambo ni muda tu huwa bayana,simama upande wa kujizuia na utakuwa salama,ulipoharibu kwa bosi wako siyo padogo, hapo pia siyo akili yako shetani bado anaendelea kukuvuruga,mwisho utakuwa huna thamani mbele ya jamii ingawa unaona wafanya kwa siri,imeandikwa kwenye Biblia "watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa",asema Mungu,simama upande wa Mungu na omba toba utashinda yote yanayokukabili
 
Nilichogundua hapa ndio maana wewe una matatizo na huyo Mr.wako,kwanza baada ya mama mwenye nyumba kukataa kukupa lift kwanini ulikubali lift ya mume wake,pili kwanini alipokuomba urafiki ulikubali wakati ukijua kuwa ni mume wa mtu,lastly unadai na hela zake ukawa unachukua,wewe mwenyewe ni tatizo,eti naenda kumpa,kwahiyo umeona hiyo ndio suluhu,kwanini usiondoke badala yake unakuza matatizo,ngoja akufumanie live na huyo jamaa yake ndio utajua kuwa waume za watu ni sumu..
 
Unampa leoa na Mama mwambie kuwa leo Naenda kumpa na yeye akapange huko kwingine na yeye ampe mwenye nyumba .. Wanawake kwa kurevenge hata Shetani wa kweli hawafikii
Hivi viumbe shetani akiviingia vinakuwa vi walimu vya shetani, yaani vinaanza kufundisha shetani cha kufanya.
 
Ndo maana mke wangu hataki tupangishe msela wa kike kumbe anajua akili zao za kukomoa
 
Hahaaa. Hamna bwana mkuu sio kwamba hatupendani. Hivyo mtu akiwa na gari basi ni lazima kumpa mtu lift sidhan, mie najua ni maamuzi na hiari ya mtu kuamua nimpe fulani lift ama la.

Pia kwa upande mwingine najisemea kwani huyo dada alishindwa kuwa anajiondokea kwa miguu mpaka asubirie hiyo lift. Kama wewe Mkuu ukiangalia lift ilikuwa na ulazima kwake?
Ilikuwa siyo lazima lkn kwa ubidamu unampa lift. Mm siwezi kumnyima mtu lift lbda gari iwe imejaa.
 
Hi guys

Kuna huyu mwenye nyumba wangu karibu miezi 2 sasa amekua akinipa lift asubuhi wakati wa kwenda kazini, mimi ni mgeni eneo hili, ni miezi nadhan mitatu sasa tangu nihamie hapo, niseme tu ukweli kuwa, nimekuja kupanga hapo baada ya kutengana na Mr wangu kwa Muda wakati mgogoro unasuluhishwa na wazee

Mimi ndie mpangaji pekee kwenye hiyo nyumba, tunaishi pamoja na mwenye nyumba na mkewe kwenye compound moja, wote wawili wana gari, awali, kwa heshima na maadili nilikua nasubiria lift ya mama lakini cha ajabu, anaingia kwenye gari na kuondoka kama hajaniona vile, ndipo baba akitoka ananipa lift

Sasa, baba mwenye nyumba amekua akanipa lift kila siku asubuhi maana tunatoka Muda unaofanana, kumbe Kuna ugomvi mkubwa unaendelea ndani ya familia hiyo sababu ya mimi kupewa lift kila siku, mama ana wasi wasi kuwa Kuna kitu kinaendelea kati yetu
Hata hivyo baada kuzoeana huyu bwana ameshaniomba niwe rafiki yake na amenipa pesa mara nyingi tu na ahadi ya kusamehewa kodi

Hivi karibuni, wakati naingia kwenye gari yule mwanamke alikuja kufanya vurugu na kutaka kunishusha kwa nguvu, fortunately, mumewe alimtoa kwa nguvu na sisi kuondoka, jioni nikakuta ameita watu wa welding akakata kufuli na kuweka lingine, nikakuta barua na kodi yangu kwenye bahasha kuwa niondoke jioni hiyo hiyo, nikamuita mjumbe akasema sheria hiyo haipo, ni lazima kodi iishe na notice itolewe, yule mama akagoma kufungua, tukampigia baba simu akaja akalikata nikaingia ndani

Sasa kwa udhalilishaji alionifanyia naenda kumkubali mumewe na kumpa immediately, sikua na Mpango huo licha ya kuchukua pesa zake sababu tayari nina matatizo yangu ya kutosha kuhusu ndoa na mapenzi, tumetengana na Mr Kutokana na migongano isiyoisha na pia nipo na boss wangu , hivyo sikutaka kabisa kujihusisha kimapenzi na baba mwenye nyumba, ila sasa naenda kumpa

Nonsense
Mpe yote yotee ila usisahau kinga usijezawadiwa kirus
 
Hahaha nimecheka kama mtoto.
Mpe mwenye nyumba, Mpe na Mjumbe, yaani Mpe kila mtu mpaka huyo mama mwenye nyumba akome mwenyewe.

Huko ofisini Mpe boss, na dereva wake ndio mumeo atakoma. Hongera kwa kujitambua
 
Hi guys

Kuna huyu mwenye nyumba wangu karibu miezi 2 sasa amekua akinipa lift asubuhi wakati wa kwenda kazini, mimi ni mgeni eneo hili, ni miezi nadhan mitatu sasa tangu nihamie hapo, niseme tu ukweli kuwa, nimekuja kupanga hapo baada ya kutengana na Mr wangu kwa Muda wakati mgogoro unasuluhishwa na wazee

Mimi ndie mpangaji pekee kwenye hiyo nyumba, tunaishi pamoja na mwenye nyumba na mkewe kwenye compound moja, wote wawili wana gari, awali, kwa heshima na maadili nilikua nasubiria lift ya mama lakini cha ajabu, anaingia kwenye gari na kuondoka kama hajaniona vile, ndipo baba akitoka ananipa lift

Sasa, baba mwenye nyumba amekua akanipa lift kila siku asubuhi maana tunatoka Muda unaofanana, kumbe Kuna ugomvi mkubwa unaendelea ndani ya familia hiyo sababu ya mimi kupewa lift kila siku, mama ana wasi wasi kuwa Kuna kitu kinaendelea kati yetu
Hata hivyo baada kuzoeana huyu bwana ameshaniomba niwe rafiki yake na amenipa pesa mara nyingi tu na ahadi ya kusamehewa kodi

Hivi karibuni, wakati naingia kwenye gari yule mwanamke alikuja kufanya vurugu na kutaka kunishusha kwa nguvu, fortunately, mumewe alimtoa kwa nguvu na sisi kuondoka, jioni nikakuta ameita watu wa welding akakata kufuli na kuweka lingine, nikakuta barua na kodi yangu kwenye bahasha kuwa niondoke jioni hiyo hiyo, nikamuita mjumbe akasema sheria hiyo haipo, ni lazima kodi iishe na notice itolewe, yule mama akagoma kufungua, tukampigia baba simu akaja akalikata nikaingia ndani

Sasa kwa udhalilishaji alionifanyia naenda kumkubali mumewe na kumpa immediately, sikua na Mpango huo licha ya kuchukua pesa zake sababu tayari nina matatizo yangu ya kutosha kuhusu ndoa na mapenzi, tumetengana na Mr Kutokana na migongano isiyoisha na pia nipo na boss wangu , hivyo sikutaka kabisa kujihusisha kimapenzi na baba mwenye nyumba, ila sasa naenda kumpa

Nonsense
Mpe mpe mpe kona zote kudadeki muinamie mtoto wakike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom