SANING'O LOSHILU
Senior Member
- May 19, 2012
- 144
- 11
Kweli tayari ni kifo cha magamba hivi hayaoni haya?
Kamanda wetu Mbowe katangaza kuanzia leo uwanja wa jangwani palipofanyika mkutano leo pataitwa Chadema square.
Sehemu ya umati uliohudhuria