Si busara kuchunguza inbox ya mpenzi wako

Si busara kuchunguza inbox ya mpenzi wako

Mi nitajifanya boya tu, ila siku nikijua alikuwa anachepuka, end of story
 
Naomba ushauli mimi namchumba wang lakn kla napo angalia inbox yake sikuti hata meseji moja je ni sahh kwel au ndo naibiwa
 
naomba ushauli mimi namchumba wang lakn kla napo angalia inbox yake sikuti hata meseji moja je ni sahh kwel au ndo naibiwa

Ndio maana nikasema, si busara kuchunguza sana inbox, huo wasiwasi, hofu, mashaka, presha, visingekuwepo kama ungekuwa unajiamini na kuachana na ufukunyungu wa inbox.

Yawezekana mpenzio wala haibiwi ila unajitia presha na shinikizo la damu bure, au hata kama anaibiwa basi hauna budi kukubali kwamba inbox haikusaidii kujua waibiwa au la. Sana sana inakupa wasiwasi tu.

Achana na inbox, timiza wajibu wako, jiamini, utaishi kwa raha. Cha msingi uwe wazi kwake kwamba hupendi usaliti na kwamba utaachana nae pindi itakapokuwa hivyo.
 
naomba ushauli mimi namchumba wang lakn kla napo angalia inbox yake sikuti hata meseji moja je ni sahh kwel au ndo naibiwa

Mkuu Wake up. Unaweza ukapigwa za uso na inbox ikawa empty.
Ngoja nikupe mfano kisa cha kweli,

Jamaa mmoja alikuwa na mahusiano mema na staff wenzake, one day akachelewa kazini, staff wenzake walikuwa mabinti wawili. Mmojawapo akatuma text akimuuliza jamaa kama kapatwa na shida yoyote
Nanukuu " (.......)(Jina) Mbona leo umechelewa?"

Jamaa akajibu kiroho safi tu,
"Niko njiani nakaribia kufika"
Binti kajibu " Poa, nakusubiri" (Walikuwa wanatoka kuelekea kwa wateja)

Wala hapakuwa na mahusiano ya mapenzi zaidi ya yale ya kikazi.

Jamaa aliporudi home jioni, simu yake ikachunguzwa na mpenzi wake.

Moja kwa moja kwenye Whatsapp, ikakutwa ile meseji na conversation nzima kama ilivyo hapo juu, tena kwa bahati mbaya kwenye status ya yule binti kuliandikwa maneno haya " Nitakungoja daima na milele (..alama ya love kwenye Profile Picture..)". Akiwa na maana ya Mchumba wake aliyeko masomoni.

Binti akazua fujo akidhani chats zile na status ile zinauhusiano na kwamba jamaa ana uhusiano wa kimapenzi. Ugomvi ulikuwa mkubwa sana, mpaka ikapelekea mtafaruku kazini kwa jamaa coz binti alimtukana sana binti mfanyakazi mwenzie na jamaa.

Hii ilihatarisha mpaka hatima ya kazi ya jamaa.
Just kwa Ufupi.

ISHI BILA STRESS, SHINIKIZO LA DAMU NA STROKE, ACHANA NA INBOX.
 
Mie sikuwa na mda wa kushika simu yake hata kidogo lakin yako itachunguzwa mpk calls za cku nzma umeongea na nani sas mtu kama uyu kwa na wew usishike yake uyaone mazur yake
 
No password, hakuma sms sms ya mwanamke inayoingia kwa simu yangu zaidi ya Dada, Mama, na Yeye... kila mara anachunguza haoni kitu
 
Hahahaaaaaaa yani mi mchepuko mgiriki au njia yenye foleni Himidini akifika mlangoni tu naomba simu kwanza mengine tunaongea baada ya serious investigation.
 
Last edited by a moderator:
naomba ushauli mimi namchumba wang lakn kla napo angalia inbox yake sikuti hata meseji moja je ni sahh kwel au ndo naibiwa

Asilimia kubwa unaibiwa.watu wa hivyo hawataki ushahid wowote ubaki.so anafuta makitu yote kuondoa msongamano.maana ukichagua kipi cha kudelete unaeza sahau vingine.no loose ends.
Ila inawezekana huibiwi,mchuchu hapatag msg.lol
 
Mi sichunguzi ila napenda niwe huru na cm yake,sio anibanie

Nina rafk yangu mmoja juzi tumekaa sehem tunapiga maji akaanza kunionyesha sim yake kuna apps ameinstall kwa sim yake hyo ndio ina save massage zake zote na hata majina ya michepuko yake amesave huko,
yaan hata mchepuko ukipiga simu inaita lakn call zote hazionekan zinaenda kwenye hyo apps yaan kasave picha za michepuko yote na ameifunga na password...

Unaweza kuwa huru na simu na usione kitu watu kiboko
 
Hahahaaaaaaa yani mi mchepuko mgiriki au njia yenye foleni Himidini akifika mlangoni tu naomba simu kwanza mengine tunaongea baada ya serious investigation.

haaa! Ww mtoto upo? naona umepotea sku hizi au mzee wa kaz kafanya yake
 
Last edited by a moderator:
nina rafk yangu mmoja juzi tumekaa sehem tunapiga maji akaanza kunionyesha sim yake kuna apps ameinstall kwa sim yake hyo ndio ina save massage zake zote na hata majina ya michepuko yake amesave huko,
yaan hata mchepuko ukipiga simu inaita lakn call zote hazionekan zinaenda kwenye hyo apps yaan kasave picha za michepuko yote na ameifunga na password...

Unaweza kuwa huru na simu na usione kitu watu kiboko

Mkuu naomba jna la apps iyo sbb mke wangu msumbufu sana yan
 
Hahahahahaha mkuu sina mbavu alhkuweza duh!
Yaani mi kuna mtu juzi juzi alinikera.. Rafiki yangu tu nilikua naichaji simu yangu ofisini kwake kumbe nilivyoondoka akaanza kusoma meseji zangu.... Akasoma weee naona alianza juu huyo anashuka chini

Sa nikawa napigiwa simu .. Sipokei ye ikikata anaendelea baadae aliekua ananipigia akanipigia na simu ya mezani pokea simu yako nakupigia.. Nimeenda ofisi yake kuchukua simu akashtuka huyooo nikamwambia naomba simu yangu ananiambia kuna mtu anapiga... Mie nimeongea kumaliza najikuta kwenye sehem ya mesage tena imefunguliwa... Yaani alinikera na upeku peku wake ..
 
Si una simu yako! Tumia simu yako! Ya Mwenzi wako ni yake! Ndio maana anaposajiri line anatoa kitambulisho. Na anakuwa responsible kisheria kwa kiingiacho na kitokacho ktk hiyo simu. Sasa wewe unaichunguza ya nn?

Simu yake haina tofauti na yangu,awe huru na yangu nami huru na yake...
 
Back
Top Bottom