Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Nina rafk yangu mmoja juzi tumekaa sehem tunapiga maji akaanza kunionyesha sim yake kuna apps ameinstall kwa sim yake hyo ndio ina save massage zake zote na hata majina ya michepuko yake amesave huko,
yaan hata mchepuko ukipiga simu inaita lakn call zote hazionekan zinaenda kwenye hyo apps yaan kasave picha za michepuko yote na ameifunga na password...
Unaweza kuwa huru na simu na usione kitu watu kiboko
He hee afanye madodosa yake tu ila ni heri nisijue.