Si busara kuchunguza inbox ya mpenzi wako

Si busara kuchunguza inbox ya mpenzi wako

Ukiona mwenza wako anakuweka mbal na sim / Passwords kila mahali huyo kaa nae mbali anaficha nini ??? huo ni ubinafsi ukiwa na siri usiingie kwenye mahusiano ubak na siri zako - Kwanza hakuna kitu kizuri kama kuwa muwaz no stress

Waambie hao
 
Wewe mpenzio/mkeo ni marufuku kugusa cm yako eeh

Ndio kwani sioni ulazima wa yeye kufungua inbox yangu .
kwani nikitaka kumpiga kitakomwa nitampiga tu hata kama nikimkabidhi simu zangu zote ashinde nazo
day and night.
 
Potelea mbali ila sioni sababu ya kuwekeana mipaka kwenye cm yangu na yake. Tena napenda zaidi tutumie cm moja

Sisi ni binadamu na ndio maana kwenye usajiri wa line hakuna Duo-registration, kila mtu anasajiri sim card kwa kitambulisho chake. Hivyo matumuzi ya simu hiyo ni kwa yule anayemiliki sim card hiyo, sasa kitendo cha kutumia simu moja sio tu inaingilia Privacy ya mwenza wako bali pia inampa risk ya kisheria endapo mmoja wenu akatumia simcard hiyo illegally, kumbuka pamoja na mapenzi, we are just humans!
 
Maana ya kua mwili mmoja ni nini kama mna mambo yasiri?
 
Daaa nimeipenda sana hiii topic.... Mahusiano kibao yanakosa direction coz ya kuchunguzana.. Nilikuwa na hiyo tabia. Cku hizi hata cjigusi kbsa kushika cmu,.. Nilifanya sana research na mwisho nikawa specimen...

Kweli mkuu, ili mahusiano yakue na yadumu hatuna budi kupotezea baadhi ya mambo na kuelezana ukweli tu. Inbox ni chanzo cha vita.
 
Sa chululu unajuaje ka imetukika na mie nianze kutumia hii njia lol

Heaven on Earth;
Yaani ulikuwa hujui? Hakuna kinacho sema umbeya ka chululu. Antena inakaa upande na matonetone hutokea kwa kumkumbuka jamaa aliyetoka hapo
 
Back
Top Bottom