Si busara kuchunguza inbox ya mpenzi wako

Sio inbox tu mm nimeinstall sms tracker kabisa na maisha yanaendelea
 
Ninaingia na sitoacha kuingia ng'oo!lazima tujenge misingi ya kuheshimiana bwanah!ukiacha haya mambo ukajifanya kupuuza ndio unakuta mtu anaongea na malaya wake au kuchat naye mbele yako!kama ana simu anayochat na watu wake anaiacha ofisini basi poa ila mbele yangu marufuku!

wewe ni noma lazima pachimbike
 
Kusema ukweli mim na mpenzi wangu anaweza kuniachia sim na msg zinaingia na wala siwezi kuzisoma call zinaingia wala siwez kupoke sim yangu haina whatssap mara moja moja natumia simu yake msg zake zinaingia na wala sina mda nazo ni utaratibu tuliojiwekea!! tunaaminiana kujiumiza mda mwingne ni kujitakia!
 
weka password kwa ajili ya watu kama hao,lakini kuondoa utata,mjulishe na mwenza wako hiyo password huku ukimueleza nini kilitokea hadi umeamua hivyo.

Yaani sijaeweka password huyo ndo atanifanya niweke.

Hapo kwenye chululu we ni me au Ke
 
Hiyo sentensi yako ya kwanza ndivyo inavyotakiwa. "Jiamini then ndo uaminiwe", it all begins with u. Kuwa free na simu yako then na me sitokuwa na wazo nayo hata.
But kama unaishi na simu yako kimachale, me ntaanzaje kukuamini? Na ili niprove kama hakuna kitu kibaya basi itabidi nichungulie tu simu yako

Issue hapa ni ile kuichunguza simu, sio kuificha simu. Simu yangu kwa mfano huwa naiacha huru kabisa niwapo home, kama akichunguza inbox ni uamuzi wake, ila mimi sihangaiki na inbox ya simu yake. Ila nilishaweka wazi, nikigundua bila shaka juu ya usaliti kwisha habari. Nakuhakikishia, najisikia raha na heshima, japo mahusiano hayakosi kutofautiana kidogo.
 
Kusema ukweli mim na mpenzi wangu anaweza kuniachia sim na msg zinaingia na wala siwezi kuzisoma call zinaingia wala siwez kupoke sim yangu haina whatssap mara moja moja natumia simu yake msg zake zinaingia na wala sina mda nazo ni utaratibu tuliojiwekea!! tunaaminiana kujiumiza mda mwingne ni kujitakia!

Nyinyi mmekomaa kabisa. Tena mtadumu sana. Kila la heri mkuu
 
Issue hapa ni ile kuichunguza simu, sio kuificha simu. Simu yangu kwa mfano huwa naiacha huru kabisa niwapo home, kama akichunguza inbox ni uamuzi wake, ila mimi sihangaiki na inbox ya simu yake. Ila nilishaweka wazi, nikigundua bila shaka juu ya usaliti kwisha habari. Nakuhakikishia, najisikia raha na heshima, japo mahusiano hayakosi kutofautiana kidogo.

Basi hongera kama upo free na simu. Sometimes anaishika out of curiosity na sio hata kukuchunguza. So relax as long as huna baya ulifanyalo kwenye simu
 
huko ni kukwepa ngumi ya uso kwa kufumba macho...mi nikipata wasaa wa kuangalia msg naangalia vizuri tu..
 
Kusema ukweli mim na mpenzi wangu anaweza kuniachia sim na msg zinaingia na wala siwezi kuzisoma call zinaingia wala siwez kupoke sim yangu haina whatssap mara moja moja natumia simu yake msg zake zinaingia na wala sina mda nazo ni utaratibu tuliojiwekea!! tunaaminiana kujiumiza mda mwingne ni kujitakia!

Kuaminiana??? Shtuka jamaa...mi nilidhani mnaaminiana!!! Sema tunatunziana siri!
 
Basi hongera kama upo free na simu. Sometimes anaishika out of curiosity na sio hata kukuchunguza. So relax as long as huna baya ulifanyalo kwenye simu

Kwa Upande wangu nime relax na ndio maana najaribu ku share na wadau hapa jamvini. Sitaki kuwa mbinafsi, nataka niokoe wenzangu wanaoishi kwa stress, mashinikizo ya damu, wasiwasi kisa kutaka kujua kilichoko kwenye inbox.
 
Kero kubwa katika mahusiano ni kutokuaminiana,halafu kwa akili zao wenye tabia hiyo nyumba zao ndizo zinazoongoza kwa mizozo na hakuna sumu mbaya katika mahusiano kama kuzozana kwa vitu vya kuhisiana.
 
Well said Mkuu. Asante sana kwa mchango wako wa kikomavu ( Maturity of thoughts)
 
Back
Top Bottom