Si bure kuna roho ya ubahili inanifuatilia

Si bure kuna roho ya ubahili inanifuatilia

Salaam wakuu.....

Kiukweli toka that day najiona looser ....hali iliyopelekea nmechange hata namba za simu na kuna roho inanishawishi atleast niitwe bahiri lakini familia yangu inione mshua.

Lakini kimtindo inside my heart najiona lm not real me, coz najilazimisha kuwa bahili wakati my heart inanishuudia lm a Generous person


Wakuu hii hali ni yakawaida au kuna kanuni nazikihuka katika maisha ya familia?
Leteni uzoefu ili tujifunze....

Regards
maisha ya kiroho huanzia ndani ya nyumba na sio nje.
chukua muda jitazame tena inawezekana kuna eneo hauko sawa jifunze kufikiri zaidi kabla ya kufanya maamuzi ya kutoa kwa kuwa wakati mwingine tunafikiri tunatoa kwa wahitaji kumbe kunakuwa na roho za chuma ulete(japo hii ni mara chache) hivyo tuwe makini ikiwa na kuweka bajeti kwa majitoleo
 
Salaam wakuu.....

Niende kwenye mada tajwa moja kwa moja

Kwa siku napokea simu zisizopungua 10 kutoka kwa marafiki, ndugu na hata wafanyakazi wenzangu.

Kati ya hizo 4 hadi 6 lazima ziwe zimejaa matatizo na kwa namna moja au nyingine zinahitaji msaada wangu na hasa wa pesa.

Mwanzoni nilijitahidi kweli kuhakikisha napambana japo niitwe problem solver na nifanyike ndg, au jamaa ninayejari na kuwepo wakati wa shida na raha.

Ila kadri nilivyojitahidi uhiitaji uliongezeka hadi kufikia nikaanza kuhairisha mambo yangu na familia yangu ili wengine wanione ni mtu wa kushirikiana na watu.

Kilichoniuma ni juzi nikiwa narudi toka kazini nikamfuma wife na watoto wangu wakiongea katika simu kuwa baba amekua bahili na wala hawana furaha na kipato changu, kwani niko radhi kuwanyima furaha wao ili wapendendwa kanisani, wachungaji na marafiki wanione mtu bomba.

Kiukweli toka that day najiona looser ....hali iliyopelekea nmechange hata namba za simu na kuna roho inanishawishi atleast niitwe bahiri lakini familia yangu inione mshua.

Lakini kimtindo inside my heart najiona lm not real me, coz najilazimisha kuwa bahili wakati my heart inanishuudia lm a Generous person


Wakuu hii hali ni yakawaida au kuna kanuni nazikihuka katika maisha ya familia?
Leteni uzoefu ili tujifunze....

Regards
Biblia inasema asiye jali wa kwao ni mbaya kuliko asiye amini
 
Back
Top Bottom