Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,580
- 78,918
Shy-Rose Bhanji baada ya kushindwa kutekeleza sera sasa tunatumia mpaka watoto kwenye propanganda..hii ni aibuuuuuu....igunga tunapelekeshwa siyo siri banaaa... nimejaribu kuweka picha za watoto huko Igunga wakiwa wamevaa skafu za ccm....na chini nimeweka mtazamo wa aliyekuwa mgombea wa ubunge wa kinonondoni katika uchaguzi wa ndani ya ccm...soma mwenyewe mtazamo wa mwanadada.. |
hawa ndio mamluki ndani ya ccm haiwezekani ukawa mwana ccm halafu ukaombea chama chako kushindwa.ila dawa yake iko jikoni hatuumizi kichwa msh..zi.
Huyu dada tangu ameshindwa ktk kura za maoni k'ndoni.Amejenga chuki kali dhidi ya ccm.amekua na tabia za kinafikinafiki na nadhan anajiandaa kwenda upinzani.ila hata ile sifa ya uongozi hana,maadili sufuri.najua hata huko chadema mtamchoka kama shibuda kwa pupa ya kutaka uongozi na umaarufu wa kijinga.hawa ndio mamluki ndani ya ccm haiwezekani ukawa mwana ccm halafu ukaombea chama chako kushindwa.ila dawa yake iko jikoni hatuumizi kichwa msh..zi.
Hajawahi kuwa mwana siasa wa aina yoyote wala hana mvuto katika jamii.Dada shy-rose kiukweli hastahili kuwa CCM, anajilazimisha tu.Anaweza kuwa mwanasiasa mzuri kwa jamii hata akiwa nje ya CCM,Only that hajiamini
Huyu dada tangu ameshindwa ktk kura za maoni k'ndoni.Amejenga chuki kali dhidi ya ccm.amekua na tabia za kinafikinafiki na nadhan anajiandaa kwenda upinzani.ila hata ile sifa ya uongozi hana,maadili sufuri.najua hata huko chadema mtamchoka kama shibuda kwa pupa ya kutaka uongozi na umaarufu wa kijinga.hawa ndio mamluki ndani ya ccm haiwezekani ukawa mwana ccm halafu ukaombea chama chako kushindwa.ila dawa yake iko jikoni hatuumizi kichwa msh..zi.
Nyie kila anayewakosoa ana chuki hamtapata independent thinkers mtaendelea kubaki na mizee kina Msekwa milele huku chama kikiwafia mnakiona.Huyu dada tangu ameshindwa ktk kura za maoni k'ndoni.Amejenga chuki kali dhidi ya ccm.amekua na tabia za kinafikinafiki na nadhan anajiandaa kwenda upinzani.ila hata ile sifa ya uongozi hana,maadili sufuri.najua hata huko chadema mtamchoka kama shibuda kwa pupa ya kutaka uongozi na umaarufu wa kijinga.hawa ndio mamluki ndani ya ccm haiwezekani ukawa mwana ccm halafu ukaombea chama chako kushindwa.ila dawa yake iko jikoni hatuumizi kichwa msh..zi.
Hamtaki kukosolewa na kuambiwa ukweli? ........watu wa ndio mzee.Hajawahi kuwa mwana siasa wa aina yoyote wala hana mvuto katika jamii.
Anakoelekea ni kuwa jamvi wa vyama vya siasa.
Ajira mbaya kwa watoto.
Shy-Rose Bhanji
baada ya kushindwa kutekeleza sera sasa tunatumia mpaka watoto kwenye propanganda..hii ni aibuuuuuu....igunga tunapelekeshwa siyo siri banaaa...
-
nimejaribu kuweka picha za watoto huko Igunga wakiwa wamevaa skafu za ccm....na chini nimeweka mtazamo wa aliyekuwa mgombea wa ubunge wa kinonondoni katika uchaguzi wa ndani ya ccm...soma mwenyewe mtazamo wa mwanadada..
Kukosolewa chama tawala ni muhimu ili kijisahihishe lakini ma old timers kama Msekwa wameishiwa vocha na si sura sahihi ya chama kwa leo.Nyie kila anayewakosoa ana chuki hamtapata independent thinkers mtaendelea kubaki na mizee kina Msekwa milele huku chama kikiwafia mnakiona.
Hajawahi kuwa mwana siasa wa aina yoyote wala hana mvuto katika jamii.