Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,326
- 78,384
Shy-Rose Bhanji baada ya kushindwa kutekeleza sera sasa tunatumia mpaka watoto kwenye propanganda..hii ni aibuuuuuu....igunga tunapelekeshwa siyo siri banaaa... nimejaribu kuweka picha za watoto huko Igunga wakiwa wamevaa skafu za ccm....na chini nimeweka mtazamo wa aliyekuwa mgombea wa ubunge wa kinonondoni katika uchaguzi wa ndani ya ccm...soma mwenyewe mtazamo wa mwanadada.. |