Elections 2010 Shy-Rose Bhanji ..na mtazamo wake huko Igunga

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
36,519
76,516

Shy-Rose Bhanji

baada ya kushindwa kutekeleza sera sasa tunatumia mpaka watoto kwenye propanganda..hii ni aibuuuuuu....igunga tunapelekeshwa siyo siri banaaa...
—

nimejaribu kuweka picha za watoto huko Igunga wakiwa wamevaa skafu za ccm....na chini nimeweka mtazamo wa aliyekuwa mgombea wa ubunge wa kinonondoni katika uchaguzi wa ndani ya ccm...soma mwenyewe mtazamo wa mwanadada..

Attachments

  • watoto na ccm.jpg
    watoto na ccm.jpg
    58 KB · Views: 775
Ukiona watoto wanavaa hayo manguo ujue wazazi wao wameyakataa. Wazazi ndio watakaopiga kura hiyo jumapili so ni dalili nzuri kwa ukombozi wa taifa letu
 
Dada shy-rose kiukweli hastahili kuwa CCM, anajilazimisha tu.Anaweza kuwa mwanasiasa mzuri kwa jamii hata akiwa nje ya CCM,Only that hajiamini
 
Huyu dada tangu ameshindwa ktk kura za maoni k'ndoni.Amejenga chuki kali dhidi ya ccm.amekua na tabia za kinafikinafiki na nadhan anajiandaa kwenda upinzani.ila hata ile sifa ya uongozi hana,maadili sufuri.najua hata huko chadema mtamchoka kama shibuda kwa pupa ya kutaka uongozi na umaarufu wa kijinga.hawa ndio mamluki ndani ya ccm haiwezekani ukawa mwana ccm halafu ukaombea chama chako kushindwa.ila dawa yake iko jikoni hatuumizi kichwa msh..zi.
 
Ni kweli mkuu...aliposhindwa kura za maoni ndio chuki yake ikaibuka.
Anachofanya sasa hivi ni kujijengea umaarufu then anahamia CDM.
Wenye macho na waone....
 
Dada shy-rose kiukweli hastahili kuwa CCM, anajilazimisha tu.Anaweza kuwa mwanasiasa mzuri kwa jamii hata akiwa nje ya CCM,Only that hajiamini
Hajawahi kuwa mwana siasa wa aina yoyote wala hana mvuto katika jamii.
Anakoelekea ni kuwa jamvi wa vyama vya siasa.
 
Huyu dada tangu ameshindwa ktk kura za maoni k'ndoni.Amejenga chuki kali dhidi ya ccm.amekua na tabia za kinafikinafiki na nadhan anajiandaa kwenda upinzani.ila hata ile sifa ya uongozi hana,maadili sufuri.najua hata huko chadema mtamchoka kama shibuda kwa pupa ya kutaka uongozi na umaarufu wa kijinga.hawa ndio mamluki ndani ya ccm haiwezekani ukawa mwana ccm halafu ukaombea chama chako kushindwa.ila dawa yake iko jikoni hatuumizi kichwa msh..zi.

Huna lolote wewe umepiga kelele gamba gamba yako wapi? Safari bado ipo mkuu??????? bwahaha ahaha ahahaha!!!!!!!
 
Huyu dada tangu ameshindwa ktk kura za maoni k'ndoni.Amejenga chuki kali dhidi ya ccm.amekua na tabia za kinafikinafiki na nadhan anajiandaa kwenda upinzani.ila hata ile sifa ya uongozi hana,maadili sufuri.najua hata huko chadema mtamchoka kama shibuda kwa pupa ya kutaka uongozi na umaarufu wa kijinga.hawa ndio mamluki ndani ya ccm haiwezekani ukawa mwana ccm halafu ukaombea chama chako kushindwa.ila dawa yake iko jikoni hatuumizi kichwa msh..zi.
Nyie kila anayewakosoa ana chuki hamtapata independent thinkers mtaendelea kubaki na mizee kina Msekwa milele huku chama kikiwafia mnakiona.
 
Shy-Rose Bhanji

baada ya kushindwa kutekeleza sera sasa tunatumia mpaka watoto kwenye propanganda..hii ni aibuuuuuu....igunga tunapelekeshwa siyo siri banaaa...
-

nimejaribu kuweka picha za watoto huko Igunga wakiwa wamevaa skafu za ccm....na chini nimeweka mtazamo wa aliyekuwa mgombea wa ubunge wa kinonondoni katika uchaguzi wa ndani ya ccm...soma mwenyewe mtazamo wa mwanadada..

Ajira mbaya kwa watoto.
 
Mimi ni chadema lakini huyu dada kwa tabia yake hii hawezi kuwa a good political material hata akiwa upande wetu. Yeye yuko ccm kwa sasa na ana kila wajibu wa kukisaidia chama chake kifanye vizuri. Hata kama kuna mambo ambayo hayapendi kwenye chama chake lakini siyo busara kucriticize chama chake publically kama anavyofanya facebook. Kwani amekosa forums zingine ndani ya chama kukikosoa chama chake? Hawa watu wa design hii hawafai chama chochote cha siasa....na kama chadema tuko makini....hatupaswi kuwakaribisha watu kama hawa.
 
Nyie kila anayewakosoa ana chuki hamtapata independent thinkers mtaendelea kubaki na mizee kina Msekwa milele huku chama kikiwafia mnakiona.
Kukosolewa chama tawala ni muhimu ili kijisahihishe lakini ma old timers kama Msekwa wameishiwa vocha na si sura sahihi ya chama kwa leo.
Debe tupu lile
 
Huyu dada tangu ameshindwa ktk kura za maoni k'ndoni.Amejenga chuki kali dhidi ya ccm.amekua na tabia za kinafikinafiki na nadhan anajiandaa kwenda upinzani.ila hata ile sifa ya uongozi hana,maadili sufuri.najua hata huko chadema mtamchoka kama shibuda kwa pupa ya kutaka uongozi na umaarufu wa kijinga.hawa ndio mamluki ndani ya ccm haiwezekani ukawa mwana ccm halafu ukaombea chama chako kushindwa.ila dawa yake iko jikoni hatuumizi kichwa msh..zi.

Huyu ni mwana CCM mwenye uthubutu na yeye huona mambo ya box si kama wengi wenu matumbo mbele na kuvaa pistol mikutanoni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom