Shy-Rose Bhanji awapa makavu CCM

hahaha..hiyo ya Ester Bulaya kumuonea wivu Halima Mdee imenichekesha sana
 
Huwa unaenda kuwachugulia huko ghetto?
Acha umbea wewe!?
 
Wote ni sawa if that is your analysis... We anayoyafanya unaona ni kweli alistahili kuwa Rais? Wote ni hao hao! ...."tuna rais wa ajabu, narudia, tuna Rais wa ajabu kweli kweli" by Tundu Lisu.
 
Ccm mnawaza vyeo tu
 
Pole
 
Ulipoacha kazi yako Bank na kwenda kwenye siasa ulichukua risk kubwa sana Shy Rose. Kwenye siasa huwezi kujua kesho yako kwa sababu future yako iko mikononi mwa mtu. Survival ya wanasiasa wengi ni kucheza ngoma kwa mdundo inayolia hata kama hupendi!
 
siasa is mazafwaka
 
Baadaye atakuja kulalamika kuwa account yake ilikua hacked. Ndiyo zao hawa, wakisha yasema ya moyoni wanakuja kusingizia hackers.
 
Shy Rose, asilielie mitandaoni bali atulie maisha yaendelee. Na kwa style ya kumshambulia Mkiti ndio kabisa anaonesha vetting ilikuwa sahihi.
Namshauri akachukue busara kwa Mh. Maudline Castico ambaye aliwahi kufukuzwa CCM kuwa sio raia akiwa Mjumbe wa KK Taifa akafanya subira leo ni Waziri kwa Zanzibar.

Kimsingi, katika siasa majungu na fitna ni mambo ya kawaida hivyo pambana navyo uvishinde.
 
Mods, fungueni uzi wa "mapambano na visasi visa katika ccm".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…