Shy-Rose aanza kuwatembelea mabalozi wa EAC Tanzania!!

If what you are saying is correct then we have a problem, I dont think she has to get permission from anybody to talk to foreign leaders or entity,she is part of government.

It is not permission as such, but to inform the Ministry. Au ni nchi gani umesikia mbunge anaweza kwenda kufanya mazungumzo (at an official capacity) na balozi wa nchi nyingine bila kuijulisha wizara ya mambo ya nchi za nje?
 
Shy-Rose aanza kuwatembelea mabalozi wa EAC Tanzania!!

- Ndio maana tunsema kuwapa nafasi Vijana ili wafanye mambo tofauti na yale tuliyoyazoea, ni muhimu sana kuwajua the players wa sekta utakayoiwakilisha taifa letu, huyu Balozi amewahi kuwa mbunge wa Kenya kwenye EAc, so ana a lot of experience na EAC na pia ndivyo modern politics zinavyotaka, uwajue the players wa yopur area ya uwakilishi.

- I hope na wabunge wengine wa EAc watajifunza, saafi sana Mheshimiwa Shyrose, anakuwa ni mfano wa kuigwa hapa! NA MUNGU AMBARIKIE NA KUMTANGULIA KWENYE SAFARI YAKE HUKO ARUSHA KWENYE EAC!

RESPECT!

William.

kichwa maji. Thanks Lord walikutosa ubunge
 
- Inaitwa Courtesy Call kwenye uwanja wa Diplomasia, unless kuna kifungu cha Sheria ya Jamhuri amekivunja kwa nini usikiweke hapa tuache kuandikia mate!

- Wacheni kuwa kama Kitine, wivu wivu tu!

William.

Wivu kwa kuingia ofisini kwa ubalozi???????

You don't prove the negative do you? Tuoneshe kifungu kinachomtaka Mbunge afanye courtesy call.
 
Wivu kwa kuingia ofisini kwa ubalozi???????

You don't prove the negative do you? Tuoneshe kifungu kinachomtaka Mbunge afanye courtesy call.

Mi mwenyewe nashangaa!! Courtesy call, Mbunge??

Tena hajaapishwa??

What a fuss!
 
Sijaelewa nini hasa nia ya Shy-Rose kwenda kumtembelea balozi wa Kenya? Au mpango wake wa kutembelea mabalozi wa EAC members hapa nchini unaratibiwa na nani? Na kwa nini aende yeye peke yake na sio kundi lote la wabunge watanzania wa EALA?

ina maana haumwamini kwa kuwa yupo peke yake?au sijakupata vzr!
 
- Inaitwa Courtesy Call kwenye uwanja wa Diplomasia, unless kuna kifungu cha Sheria ya Jamhuri amekivunja kwa nini usikiweke hapa tuache kuandikia mate!

- Wacheni kuwa kama Kitine, wivu wivu tu!

William.

sasa hapa Kitine anaingiaje??

Kumbe mnarithishwa hadi ma-bifu na baba zenu...hamtufai nyie masaburi.

Btw tulijua ni Mzee Mchonga(kifimbo) pekee ndio anawatesa ukoo wenu mpaka leo,kumbe wapo wengi....!!!
 
Jamaa ameukosa ubunge wa EALA, amehaidiwa ukuu wa wilaya, ndio ameamua kuwa mbwabwajaji wa magamba.
Hajui kama anajishushia heshima JF

- Biashara ya utumbo bro siasa, hizi ni harufu tu wewe unajua siku zote mimi ni CCM, ingawa hii ishu haina anything to do na CCM, mnalia lia mpaka inatia kinyaa kila kiut kulia lia, Mbunge wa EAC kwenda kuwaona mabalozi wa EAC unalia unalilia nini kama sio wivu tu na chuki za binafsi?

William.
 
- Onyesha sheria aliyovunja kama hakuna basi dawa ni kunyamaza!

William.
Swala sio kutafuta sheria iliyovunjwa,
Hapa ndugu W. J. Malecela watu wanahoji wajibu wa mbunge ni nini? sio sheria iliyovunjwa! kwa kuwa sheria haikutamka kukuzuia jambo basi ndio ukurupuke bila mipango, sasa kwa nini yuko peke yake alietembelea mabalozi, mbona wabunge wengine hatukuwasikia wakifanya ziara za kutembelea mabalozi.?

Shy-Rose aanza kuwatembelea mabalozi wa EAC Tanzania!!

- Ndio maana tunsema kuwapa nafasi Vijana ili wafanye mambo tofauti na yale tuliyoyazoea, ni muhimu sana kuwajua the players wa sekta utakayoiwakilisha taifa letu, huyu Balozi amewahi kuwa mbunge wa Kenya kwenye EAc, so ana a lot of experience na EAC na pia ndivyo modern politics zinavyotaka, uwajue the players wa yopur area ya uwakilishi.

- I hope na wabunge wengine wa EAc watajifunza, saafi sana Mheshimiwa Shyrose, anakuwa ni mfano wa kuigwa hapa! NA MUNGU AMBARIKIE NA KUMTANGULIA KWENYE SAFARI YAKE HUKO ARUSHA KWENYE EAC!

RESPECT!

William.

Willy, kwa mujibu wako ni kuwa huyo balozi amewahi kuwa mbunge wa Kenya kwenye EAC hivyo huyo dada amekwenda pale kujifunza hizo experience. Hapo ndipo nadharia hiyo inakosolewa na wachangiaji, soma vizuri bandiko la Ngambo Ngali (Sigara Kali), utaona namna alivyoanisha utaratibu ambao ungeleta sense, lakini si namna alivyoanza.

Labda if she has just gone there to snoop on them, hiyo inaweza kuwa suala lingine, na still alitakiwa a find njia nzui zaidi kuliko yeye mwenyewe kwenda frontline.
Kama wewe ukiwa ni rafiki yangu wa karibu halafu watu wengine wataanza kuyaona makosa yangu kabla yako na nikikuangalia wewe nakuona upo busy kunitetea, basi tangu hapo hapo nitakuweka katika kundi la wapambe wangu.

Rafiki ni lazima uwe mtu huru, mwenye mawazo huru na unayejiamini, kutetea si kazi ya rafiki, bali kujenga na kuhakikisha upo imara na salama ndiyo kazi ya rafiki. Just try again will, najua bado una uwezo wa kuwa rafiki yake mzuri na wa kweli.
 
- Inaitwa Courtesy Call kwenye uwanja wa Diplomasia, unless kuna kifungu cha Sheria ya Jamhuri amekivunja kwa nini usikiweke hapa tuache kuandikia mate!

- Wacheni kuwa kama Kitine, wivu wivu tu!

Point ya msingi hapa ni kufahamu taratibu za mbunge wa EAC Kwenda kwa balozi wa members country. Labda kwa maana ya kufahamiana, lingine labda kama kuna jambo ambalo lina interest kwa nchi ambalo anakwenda kushawishi upande wa pili.

Je kuna uharaka gani wa kwenda kujitambulisha wakati kuna muda wa kutosha kupitia masuala ya msingi na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu soko la pamoja na mambo mengine mengi.

She went for show up!! Anapenda sana kuwa front hata kwa mambo yasiyo na tija kwa taifa. Hii ni tabia ya shy-rose always!!!!!!!!!!
 
- Onyesha sheria aliyovunja kama hakuna basi dawa ni kunyamaza!

William.

Mbona mwepesi kuongelea sheria? Suala si kuvunja sheria. Suala hapa ni uharaka gani huu alio nao? hata chuoni unapooanza kuna orientation week, hawakuwa wapumbavu hawa walioweka muda huu. Hata kuapinshwa bado kwa haraka ni za nini?:baby:
 
Le Mutuz @N.Y.C now in D.A.R amekuwa katibu wa Shy-rose siku hizi maana naona anamjibia hoja Mkuu wake kama sikosei.Kama ni katibu wake kazi anaiweza na nampa pongezi zote .

Hivi Shy-rose si member wa JF?

Heshima kwako Le baharia W. J. Malecela
 
Ninavyojuwa mimi hapa huyu William ameshampigia simu Shyrose Banji ili amuoneshe anavyomtetea hapa JF ili baadae kwenye vile vikao vyao vya Kingwasuma mambo yawe mseleleko, ni kupoteza muda wako tu kubishana na Le Mutus.
 
JB WISER Hata mimi nimeshaona ni ukosefu wa kufikirisha akili kubishana na Le Baharia
 
Last edited by a moderator:
- Kelele za mlango!

William.
Hata JK aliwahi kutoa hii kauli, lakini leo nenda kamuulize kama ana uthubutu tena wa kutoa kauli hii. Namshukuru Mungu wa Mbinguni kwa wewe kutoswa Ubunge wa Afrika Mashariki pamoja na yule Mwanamke uliyekuwa unampigia debe achaguliwe kuwa Rais wa DMV naye katoswa vilevile!!

Inshort wewe upo kwenye kundi la losers.

Aha!ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!
Aha!ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!ha! ha!ha!ha!ha! ha! ha! ha!ha! ha!ha!ha!

Aha!ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!ha! ha!ha!ha!

Aha!ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!ha! ha!ha!ha!

JB WISER@NEW YORK CITY, USA.
 
- Inaitwa Courtesy Call kwenye uwanja wa Diplomasia, unless kuna kifungu cha Sheria ya Jamhuri amekivunja kwa nini usikiweke hapa tuache kuandikia mate!

- Wacheni kuwa kama Kitine, wivu wivu tu!

William.

THREAD zako always unadefend magamba, tunakosa hata hamu ya kuwa tunazifuatilia, maana hata nyeusi wewe unang'ang'ania nyeupe
 
Back
Top Bottom