Shy-Rose aanza kuwatembelea mabalozi wa EAC Tanzania!!

William umekosa tangible reasons za kumtetea Shyrose Bhanji unajiumauma tu bila sababu za msingi.Kama vile kule Jeshini ameanza kutembe gwaride kwa mguu wa KUSHOTO.Ushauri aliopewa na wengi ni mzuri sana kwake na aufanyine kazi.Kama yeye angekuwa mkurugenzi wa NGO na kwamba kama alienda kuongea na balozi kuhusu NGO yake ni sawa na kama alikwenda kwa maslahi ya benki yake ya NMB labda inataka kufungua matawi au kufanya biashara Kenya ni sawa ,lakini kama alikwenda kwa wadhifa wa balozi mteule shhe is totall wrong na kama mnafanyia promo hapa jamvini mmepotea wote.

- Maneno mengi kumbe na wewe hujui kwa nini alikwenda! ha! ha! ha!, unasema promo za JF kwani ndio iliyompa ubunge? ha! ha!


William.
 
Mnaambiwa ya ukweli unaanza facts.....!
Huyo Shy-rose kwa nini asianze na kina mzee Sitta au Wizara husika, Nyie ndio mkifika kule mnaishia kupiga makofi na kugonga meza... kushnei!


Huyu mtu nilikuwa namuheshimu ila kumbe ni hovho kabisa!!
 
Mnaambiwa ya ukweli unaanza facts.....!
Huyo Shy-rose kwa nini asianze na kina mzee Sitta au Wizara husika, Nyie ndio mkifika kule mnaishia kupiga makofi na kugonga meza... kushnei!


- Ukweli ni kwamba hakuna Sheria ya Jamhuri iliyovunjwa na kwenda kwake, halafu huna FACTS kwa nini alienda, mengine ni siasa as Biashara ya utumbo huwa haikosi harufu!


William.
 
- Ukweli ni kwamba hakuna Sheria ya Jamhuri iliyovunjwa na kwenda kwake, halafu huna FACTS kwa nini alienda, mengine ni siasa as Biashara ya utumbo huwa haikosi harufu!


William.

Sheria nini, kiongozi mpumbavu hufanya upumbavu wake kwa kuwa hakuna sheria ya kuzuia upumbavu huo!!
 
Nimeamini wewe ni sifuri kabisa!!
Tena huyu sawa na amejisaidia barabarani, ukimkamata anakwambia wameandika wapi usijisaidie hapa.
Ni sawa na jinsi anavyong'ng'ania ni kifungu gani kimevunjwa? kwahiyo kama hakuna kifungu kinachokukataza basi kila jambo ndio ujifanyie bila mpango?
Tatizo hawa wanawaza posho hawajui majukumu yao.....!

 
Wewe endeleza ujinga wako tu!!

Hutakaa uongoze hata punda wewe!

- Well, natoka sasa naona somo limeeleweka, kwamba huwezi kuongea mbele ya Great Thinkers bila FACTS! utaishia kuona watu ni punda, kumbe ni huna FACTS TU! HA! ha! ha! ha!

William.
 
Huyu shy Rose ndo yule aliyetuomba kwenda kukaa na kanga moja au uchi kule kuje jengo la BBA?


Twende kazi tutafika
 
Huyu shy Rose ndo yule aliyetuomba kwenda kukaa na kanga moja au uchi kule kuje jengo la BBA?
Twende kazi tutafika
Ndio huyo huyo kwa kuwa yeye amezoea.
Alafu nashangaa jamaa anaemtetea sijui amemlambisha naniiii.....!
Wewe hata kuapishwa bado unaanza kuzungukia mabalozi...! ndio majukumu yako hayo?

 
Kwangu mimi hii safari ni Diplomatic blunder na Foreign Affair wanatakiwa wawape somo wabunge wote. Sijui kama Shy- Rose anafahamu kwa sasa kiongozi/mbunge hawezi kufanya mazumzo (official capacity) na foreign entity bila ya kuitaarifu Foreign Affairs?

Anachojua yeye ni kuuza sura tu baasi!
 
Tusimseme sana labda alienda kibinafsi kama mtu anaenda kutembea ubalozini tu.
 
- So una hasira na chuki naye cause hajakulambisha? ha! ha! ha!
William.
Nashukuru kwa kunifungua masikio!
Kumbe kumtetea kote kule umelambishwa?
Mie nakiri kama ulivyosema sijalambishwa!
Endelea na statement of facts,Final and Initial Report, Tank Ulage mkimaliza Discharging mtanikuta Durban.

 
Kwangu mimi hii safari ni Diplomatic blunder na Foreign Affair wanatakiwa wawape somo wabunge wote. Sijui kama Shy- Rose anafahamu kwa sasa kiongozi/mbunge hawezi kufanya mazumzo (official capacity) na foreign entity bila ya kuitaarifu Foreign Affairs?
If what you are saying is correct then we have a problem, I dont think she has to get permission from anybody to talk to foreign leaders or entity,she is part of government.
 
Sasa wewe W. J. Malecela mbona unashindwa kuelewa kitu kidogo tuuu ndugu?
Huyo binti amekwenda kama kani?
nakubali kuwa Kenya siyo maadui zetu ila ni waoinzani wetu, inabidi tuwe macho nao sana, hata kwenye biashara za machinga huwezi kumpa mpinzani wa mbinu za biashara yako.
yeye kama mbunge wetu wa EAL hawezi kwenda kujifunza kwa mpinzani hata kidogo, hiyo haikubali popote pale.
 
Tusimseme sana labda alienda kibinafsi kama mtu anaenda kutembea ubalozini tu.

Unajua huyu William anasahau jambo moja muhimu kwamba kama unataka kumsaidi mtu basi ni vizuri umwambie ukweli, hata kama ukweli wenyewe hautampendeza lakini walau atajue ukweli ni upi ili ajikite zaidi kwenye mambo yenye manufaa.

Shy-Rose kwa sasa ni mbunge wa EALA na sio PR wa EALA. Kule bungeni atakuwa anaiwakilisha nchi - Tanzania. Hivyo pa kuanzia ni kujua ni mambo gani hasa anatakiwa ayawakilishe na kwa vipi? Nini standing ya Tanzania kwenye mijadala inayoendelea EALA.

Ndani ya hii EAC kuna mambo ambayo bado yanaleta mjadala mkali na issue nyingine ni very sensitve. Kupitia uchaguzi wa EALA Dodoma mwezi uliopita niligemea William awe amenusa - walau kwa mbali ni issues gani ambazo kwa Tanzania hazijakubalika.

Sasa tunapojaribu kutoa maoni hapa ya kumjenga Shy-Rose yeye William anaona tuna chuki binafsi. Lakini anasahau kama Shy-Rose ataboronga basi na sisi kama nchi tutapata hasara. Sasa hivi ameanza kwa kuongea na balozi wa Kenya, watu watakuwa wanafuatilia michango yake bungeni kwa karibu sana na kama watanusa anaelekea kulalia Kenya watarejea huu mkutano wake na Balozi.

Ushauri wangu kwa Shy-Rose kama unasoma hapa, tafuta muda ukae na mama katibu mkuu wa Wizara ya Africa Mashariki ili ujue in great details ni wapi pa kuanzia. Pia si mbaya kama utapa wasaa na Dr Masha ambaye anamaliza muda wake huko EALA - ana institutional memory inayoweza kukusadia. Baada ya hapo mtembelee waziri au katibu mkuu wizara ya ardhi, then Utalii na maliasili. etc etc. William, ndio anaku-protect hapa lakini ukiboronga utajikuta uko mwenyewe.
 
Back
Top Bottom