Shuttered dreams: ndoa za utotoni

Shuttered dreams: ndoa za utotoni

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,098
1414072263612.jpg
 
sikuhizi watoto wanakua haraka sana, tusiangalie UMRI tuangalie "MOFOLOJIA" zaidi. si unaona hako kana wawili sasa !!!
 
sikuhizi watoto wanakua haraka sana, tusiangalie UMRI tuangalie "MOFOLOJIA" zaidi. si unaona hako kana wawili sasa !!!

Ila mahondaw kiakili anakuwa bado sana, na ndoto zake zote zinakuwa ni kama zimezimwa, amedhulumiwa
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika tena nahuzunika sana lakini maji yakimwagika huwa hayazoleki na ni somo kwa wazazi na mtoto vipi kujitunza na ulimwengu wa hadaa
 
Nasikitika tena nahuzunika sana lakini maji yakimwagika huwa hayazoleki na ni somo kwa wazazi na mtoto vipi kujitunza na ulimwengu wa hadaa

Wengine mazingira wanayoishi ndio imekuwa msumari wa sumu kwao, binti anafaulu kwenda sekondari ya akifika huko anapanga chumba na wenzake shule haina mabweni

Anahitaji kula, kuvaa na mahitaji mengine na pesa hana, anatokea bazazi wa kumsaidia vipesa vidogovidogo anatembea naye mpaka anampa mimba, jamaa anaingia mitini binti anatimuliwa shule akifika nyumbani lawama zote kwake, the world is not fair
 
Back
Top Bottom