Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Nilikuwa na tabia ya kubana banja kwa kuhofia kuchekwa, nikiibana sana inaanza kuforce itoke ninajikuta nahema huku banja inakoroma kama kuku mwenye kikohoz

Kifua huwa kinatesa sana, alafu hilo banja lilikuwa linakautaratibu sio kazuri wakati pametulia ndio linataka ukohoe oooh huo mlio wake jamani Yaan ni aibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom