Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Kuna sehem nilimkuta kwenye uzi mmoja mmu huko anamwambia mwenye uzi aende kwakeAsante
Hivi upoo
Kuna sehem nilimkuta kwenye uzi mmoja mmu huko anamwambia mwenye uzi aende kwakeAsante
Hivi upoo
Amenisifia tu mmHuelewi jamaa anataka nn?!
Mbona utetezi mwingiii Shunie ujue hata me nina moyo laiti ungeelewa au kuwa kwenye nafasi yangu hiiSitojutia ninii tena jaman me mke wa mtu mkuu
Ahaa, hapo sawa sawa.Mkuu ni upendo wa kawaida.
Mbona utetezi mwingiii Shunie ujue hata me nina moyo laiti ungeelewa au kuwa kwenye nafasi yangu hii








mbavu zanguNani huyo, umenifananisha sio mimiKuna sehem nilimkuta kwenye uzi mmoja mmu huko anamwambia mwenye uzi aende kwake
Pokea hiyo hongera Shunie, ina maana kubwa sanaAhahhaha hongera ya nini sasa
Kwahiyo unataka mpk akwambie anaomba penzi ndio umuelewe?!Amenisifia tu mm
Mbona kicheko, au sio kweli
Mungu anamuona kabisa huyo anayemficha carbaBaba D anakuona huko aliko
Cc:Shunie
Offer yangu ya vifungashia asali bado ipoWoyooooo
Mkuu ulidhani natafta(@). Hapana siwezi.Ahaa, hapo sawa sawa.
Hivi nani anakufungia jamani?
Angalia mama kuwa makini pia haya mambo ni mazito sanambavu zangu
Hahahahaa mkuu umemalizaaKwahiyo unataka mpk akwambie anaomba penzi ndio umuelewe?!
Vijana wa siku hizi hamkawii kabisa kutamani mali za watu... Kuna ule msemo wenu mnasema hainaga ushemeji sijui.Mkuu ulidhani natafta(@). Hapana siwezi.