Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Mkuu Shinue siyo bint ni mamaMi Shunie nimfahamuye ni binti halisi mlimbwende wa Kibantu, mkweli, mcha Mungu, mwenye vipaji lukuki (vikiwemo uandishi), asiye na majivuno, msomi na mwenye busara sana. Ni mmojawapo wa mabinti ninaowaheshimu sana hapa JF....
kumbe mkuu, endelea kum-bebisha anapenda sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tumetoka mbali na Thad we acha tu![]()
![]()
MmmmhSoon na za kwako tunazishusha.
Stay tuned
Kabisa"Moyo komma! Mjini kuna vya watu!"
Hakuna baya lolote mpenzi, kuwa na amani kabisa. Love younawaonaa

Hilo wowowo lake uliliona wapi mkuu?Na wowowo lake si la mchezo mchezo.


Hakuna baya lolote mpenzi, kuwa na amani kabisa. Love you![]()
Love you moreSawa !!!Mkuu Shinue siyo bint ni mama
Mkuu asante sana kwa kunikubali ubarikiwe mnoKama kichwa cha habari ilivyoeleza, naomba nitunuku hili jamvi leo kwa mrembo ninaempenda sana humu Shunie. Namkubali sana, kila siku lazima nipitie comment yake humu, siawahi kuwasiliana nae PM wala sikumbuki kama nimewahi kuquote comment yake but hayo yote hayana maana kuwa hana thamani kwangu. Mrembo Shunie popote ulipo ujue una mtu anakupenda mno.

na kuwa shabiki wangu mana kila ninachocomment unakifatilia unipe na mahela basi jaman sio unanikubali na kunipenda bure bure ahaha
Ukimaanisha NokiaHii ndio unaambiwa sura mpya miguu ya zamani....watu wanataka mzigo huku