shule | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

shule

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by butogwa, Jul 23, 2011.

 1. b

  butogwa Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuna mvuvi mmoja alioa mwanamke ambae hakubahatika kusoma, jamaa baadae mambo yakawa super akaamua kuwapeleka watoto english medium school. Kuna cku yule mama alienda kusalimia kwao akamkuta mama yake ni mgonjwa aliporudi akawakuta watoto wamerudi likizo, kesho yake watoto wakaenda matembezini, baadae rafiki yao akawaletea kadi ya birthday yule mama akaipokea na kuuliza ni barua ya nini hii' kale katoto kakajibu ni birthday invitations card na kisha kakatimua. Yule mama aliangua kilio cha kifo mtu hadi majirani wakaitika' kumuuliza kulikoni? Kilichofuata ni kuwatolea ile kadi huku anadai ni barua ya taarifa ya kifo cha mama yake alietoka kumuuguza huko kijijini! Majirani Kufungua, ni kadi ya birthday watu hoi kwa kicheko!!!!
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Mh, sad story............
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Duu! Hii kali
   
 4. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mi sijaelwa
   
 5. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Asiependa shule ni.(..).*3. Barua ikija atembeza kutwa.*2. Rudia Chorus.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,436
  Trophy Points: 280
  unafanana na jina lako
   
 7. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata mimi nilikuepo kwenye hilo tukio!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Umiza kichwa...
   
 9. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ...ni birthday invitation card....ni besidei invaitesheni kadi...,najua huyo mama hajui kiingereza lakini sioni correlation yoyote ya matamshi haya na ujumbe wa msiba kwa kiswahili!
   
Loading...