Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,509
- 7,066
School kills creativity
Uwongo. Pathological liar.Sijui hata Umesoma uzi?
Wewe ndio wale wazee wanao amini hekima ya maisha iko shuleni! Basi endelea kuamini.
Nimeajiriwa ila naona ujinga tu, maana unafanya kazi for a paycheck to cover bills alone
Nonsensical take.Siku hizi degree holders wanaranda randa mitaani tu..
Yaani watoto wanamakiza shule na vichwani mwao hata kujenga hoja na kuitetea hawawezi.
Na jinsi teknolojia inavyo kuja kwa kasi sioni kabisa umuhimu wa shule...
Paychek za ajira hazikidhi mahitaji na kuleta financial freedom..
Wenye stadi kazi za maisha na experience ya mtaa ndo wanakula mema ya nchi.
Wengi wenye vyeti wako mitaani kama mazuzu kwasababu hawana ujuzi wa maisha, akili zao zimedumazwa na kukaririshwa mavitu yasiyo kuja kuwa saidia mbeleni.
Imagine walio soma logarithms, Chand ya physics,.. Yoote hayo alafu anakuja mtaani a natakiwa a handle mahusiano, ajue namna ya kujenga familia, anapaswa kuwa na chanzo kingine cha pesa na hawezi kufanya kazi nyingine tofauti na taaluma yake?
Binafsi naona watoto waishie sekondari tu, alaf kama kuna uwezekano asomee ufundi ama field husika baada ya hapo aachane na mavitabu.
Siku hizi elimu si kitu tena... Angalieni mtu kama baba levo, mwijaku, niffer, hanscana, na wengine ambao jitihada zao tu za kuyajua maisha zimewatoa kimaisha....
Hapa siongelei Paychek tena, naongelea mtu kuyafikia mafanikio na financial freedom.
Shule (vyuo) vinadumaza. Kwanza unaingia kwenye debt ya mkopo and all that.. Alaf unasahaulishwa kabisa maisha ya mtaa sio hayo ambayo shule zinawafundisha.
Imagine kubwa zima linamfatiliaSiku hizi degree holders wanaranda randa mitaani tu..

Ipo but low quality of educationUnasema elimu sio kitu, halafu unataka ukiumwa uende hospital umkute daktari bingwa aliyebobea.
Unasema elimu sio kitu, halafu ukishapata hizo pesa ukataka kujenga upate mainjinia na architecture.
Unasema elimu sio kitu, halafu ukitaka kufuga unataka upate daktari wa mifugo.
Unasema elimu sio kitu, halafu ukishakuwa na pesa unataka kusafiri upate marubani na mainjinia wa ndege.
Sasa unafikiri hawa madaktari, architectures, pilots, seafarers, engineers wanapatikana vipi bila elimu?
Mimi nina miaka 50? Mbona kashesheUwongo. Pathological liar.
Ujaajiriwa popote.
Halafu hata na wewe ni mzee. Hauko kwenye hiyo age ya 20s kama unavyodanganya watu humu.
Wewe uko kwenye late 50s. Na kwa kweli hakuna shida yoyote kuwa mzee mwenye umri wa kustaafu, acha kupangia watu maisha. Ishi maisha yako! Ya wengine yanakuuma nini?
Mkuu, hivi unajua hata unacho kiongea?..Unasema elimu sio kitu, halafu unataka ukiumwa uende hospital umkute daktari bingwa aliyebobea.
Unasema elimu sio kitu, halafu ukishapata hizo pesa ukataka kujenga upate mainjinia na architecture.
Unasema elimu sio kitu, halafu ukitaka kufuga unataka upate daktari wa mifugo.
Unasema elimu sio kitu, halafu ukishakuwa na pesa unataka kusafiri upate marubani na mainjinia wa ndege.
Sasa unafikiri hawa madaktari, architectures, pilots, seafarers, engineers wanapatikana vipi bila elimu?
Endelea kuwa na mindset hiyo na wakati hakuna jipya kabisa siku hizi na AI ni bora zaidi ya hawa unaowaita specialistsImagine kubwa zima linamfatilia
the so-called baba levo, Mwijaku, Hanscana et al. Yaani hao ndio role models wake!Jamani! Where did we go wrong as a nation?
Warped thinking!
Critical analysis of pros and cons of high education is hardly needed.
Pros of high education far outweigh few social problems like unemployment.
Tunahitaji specialists wa fani zote. National security and societal well-being heavily depend on that.
Hii kitu inabidi ukomae nayo ndani ya miaka 5 mwaka wa 6 wewe sio mtu wa kawaida tena. Hii nimeshuhudia kwa baadhi ya vijana walioamua kuthubutu na kujilipua.Wenye stadi kazi za maisha na experience ya mtaa ndo wanakula mema ya nchi.
Sasa running cost anakosa je? Mbona ku run biashara sio kazi? Running cost huwa haichukui hata asilimia 20Hii kitu inabidi ukomae nayo ndani ya miaka 5 mwaka wa 6 wewe sio mtu wa kawaida tena. Hii nimeshuhudia kwa baadhi ya vijana walioamua kuthubutu na kujilipua.
Mmoja alifungua duka uchwara yaan la kawaida tu soda kreti 1 vijuice vya kuzugia na maji cartons 3 basi, Mangi somewhere sasa hivi imepita 2 years lile duka limezaa duka lingine kaweka kijana anauza ametoa ajira kwa kijana mmoja.
Mwingine ni binti yeye alianza na kuuza vitenge na khanga kisha akafanya km kiduka akaweka Mobile Money kakomaa hapo ni miaka 2 sasa ni duka kubwa la mahitaji ya nyumbani.
Sema baadhi ya vijana hawapewi nafasi ya kuonyesha uwezo. Wazazi wengi wanapowapeleka watoto wao shule wakiwa na picha/ndoto za matarajio ya kupata au kulipwa Mshahara kila mwisho wa mwezi bila kujua kwamba kuna namna nyingine wanaweza wakaifanya itakayomfanya kijana apate Mshahara huo huo kila mwisho wa mwezi tena inaweza kua na zaidi.
Kuna miradi inalipa sana ila shida ni kianzio cha uwekezaji yaan investment start-up na running cost sasa hapo kwenye running cost au tuseme gharama za uendelezaji au uendeshaji mradi, hizi pesa ni za muhimu sana zinapokosekana mradi unakufa, wengi ndipo wanapofeli na mradi unafungwa rasmi. Utasikia tu mtu anauza kila kitu na mradi anaachana nao sababu ni running cost.
Hii nimemshuhudia kwa kijana mmoja alikua na mradi fulani nikashangaa anauza kila kitu na anafunga mradi. Nilipojaribu kumuuliza mboni mradi mzuri kwanini unaufunga? Jibu alilonipa ni kweli mradi mzuri ila kilichomshinda ni running cost mradi hauwezi kuendelea ikiwa yeye hana pesa za kuuendeleza au hana pesa za kuuendesha huo mradi.
Mkuu, mradi aliokua anaufanya running cost yake sio kidogo inahitaji uwe na msuli haswa ni issue ya mifugo na mifugo inahitaji chakula na dawa kila inapougua.Sasa running cost anakosa je? Mbona ku run biashara sio kazi? Running cost huwa haichukui hata asilimia 20
Mkuu, samahani kwa kukuquote ila kuna kitu umesema na kuna kitu haujasema. Hapo umeegemea upande mmoja hujaangalia upande mwingine.Imagine kubwa zima linamfatilia
the so-called baba levo, Mwijaku, Hanscana et al. Yaani hao ndio role models wake!Jamani! Where did we go wrong as a nation?
Warped thinking!
Critical analysis of pros and cons of high education is hardly needed.
Pros of high education far outweigh few social problems like unemployment.
Tunahitaji specialists wa fani zote. National security and societal well-being heavily depend on that.
Ndio useme sasa mfano mimi nimeshuhudia kijana awesomemeshwa na serikali chuo kikuu Telecommunications degree kapewa na mkopo 100%, baada ya kumaliza chuo yupo mtaani hana kazi hana ajira.Unasema elimu sio kitu, halafu unataka ukiumwa uende hospital umkute daktari bingwa aliyebobea.
Unasema elimu sio kitu, halafu ukishapata hizo pesa ukataka kujenga upate mainjinia na architecture.
Unasema elimu sio kitu, halafu ukitaka kufuga unataka upate daktari wa mifugo.
Unasema elimu sio kitu, halafu ukishakuwa na pesa unataka kusafiri upate marubani na mainjinia wa ndege.
Sasa unafikiri hawa madaktari, architectures, pilots, seafarers, engineers wanapatikana vipi bila elimu?
Sasa siachia ajira upambane mtaa mkuu then relateSijui hata Umesoma uzi?
Wewe ndio wale wazee wanao amini hekima ya maisha iko shuleni! Basi endelea kuamini.
Nimeajiriwa ila naona ujinga tu, maana unafanya kazi for a paycheck to cover bills alone