Una nchi ya watu milioni 60
Huna namna ya kuvuna na kulea vipaji
Utapata taifa hoe hae tu,kila mtu anajifanya
China ina special schools
Marekani in Ivy League Schools
UK navyo hivyo hivyo
Kwamba kwenye society kuna watoto wenye akili nyingi by biological lottery,inabidi uvune na kuvilea vilete spark kwenye jamii jamii nzima iende mbele
Nyerere aliona hili ndio maana kajenga hizi shule za watoto wenye vipaji maalumu
Sasa wameingia viongozi kwanza hawana akili....plus wana wivu na watoto wenye akili nyingi,hivyo kwa chuki binafsi wamefuta zile shule ili nchi iwe ya wajinga kama yeye alivyofeligi shule
Aiseee.....tutakua wa mwisho tuu