Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,945
Kuna hizi shule Tanzania wanasema ni za vipaji, Kisimiri, Kilakala, Ilboru, Kibaha, Mzumbe n.k.
Je, kwa matokeo ya hivi karibuni bado zinastahili kuwa za vipaji(special school)?
Shule za vipaji??---🤣 na shule za vifua, matumbo nk, zipo??