cocastic JF-Expert Member Nov 30, 2019 86,996 139,748 Feb 3, 2024 #41 Goguryeo said: Sisi wa mjimpya secondary wazee wa CDDhii mada haituhusu.... Ngoja waje. Click to expand...
Goguryeo said: Sisi wa mjimpya secondary wazee wa CDDhii mada haituhusu.... Ngoja waje. Click to expand...
Lambardi JF-Expert Member Feb 7, 2008 16,588 17,509 Feb 3, 2024 #42 Mmmm mabingwa kukatiri maandishi hakuna kipaji chochote....wehu tu wengine hudata kabisa
MamaSamia2025 JF-Expert Member Mar 29, 2012 10,149 22,522 Feb 3, 2024 #43 cocastic said: Acha uongo wee mbona wapo walioenda na hizo cut-off point special school Click to expand... Labda wasichana. Ila kwa boys hapana.
cocastic said: Acha uongo wee mbona wapo walioenda na hizo cut-off point special school Click to expand... Labda wasichana. Ila kwa boys hapana.
Urban Edmund JF-Expert Member Mar 20, 2018 1,968 2,462 Mar 28, 2024 #44 hedonic said: Kwamba shule za vipaji wote watakua wana A flat? Click to expand... Hapana sio wote mkuu
hedonic said: Kwamba shule za vipaji wote watakua wana A flat? Click to expand... Hapana sio wote mkuu
Urban Edmund JF-Expert Member Mar 20, 2018 1,968 2,462 Mar 28, 2024 #45 Hance Mtanashati said: Ndio. Halafu mara nyingi wanaopewa priority kubwa ni hao hao waliotoka kwenye hizo hizo shule. Click to expand... Sio kweli lakini waliotoka kwenye hizo shule wanakua wamefikia hizo criteria
Hance Mtanashati said: Ndio. Halafu mara nyingi wanaopewa priority kubwa ni hao hao waliotoka kwenye hizo hizo shule. Click to expand... Sio kweli lakini waliotoka kwenye hizo shule wanakua wamefikia hizo criteria
balibabambonahi JF-Expert Member Apr 5, 2015 14,564 12,701 Mar 28, 2024 #46 hedonic said: Habari,wadau wa Jf, Nlikua nauliza je mtoto aliyepata 1 ya 9 ,na ana ufaulu wa A-chemistry,B-physics na B- mathematics ,anaweza kuchaguliwa Shule za vipaji maalumu(special schools) kidato Cha Tano? Click to expand... Hapo hakuna vipaji,vipaji siyo kupata maksi nyingi
hedonic said: Habari,wadau wa Jf, Nlikua nauliza je mtoto aliyepata 1 ya 9 ,na ana ufaulu wa A-chemistry,B-physics na B- mathematics ,anaweza kuchaguliwa Shule za vipaji maalumu(special schools) kidato Cha Tano? Click to expand... Hapo hakuna vipaji,vipaji siyo kupata maksi nyingi
SUKAH JF-Expert Member Apr 24, 2013 1,600 1,703 Mar 30, 2024 #47 balibabambonahi said: Hapo hakuna vipaji,vipaji siyo kupata maksi nyingi Click to expand... Kipaji ni nini?
balibabambonahi said: Hapo hakuna vipaji,vipaji siyo kupata maksi nyingi Click to expand... Kipaji ni nini?
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 120,408 143,803 Mar 30, 2024 #48 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw