Shule za vipaji maalumu nchini

Ww umefafanua vizur.
Miaka ya nyuma, 2000s kushuka chini. mtu ukichaguliwa Pugu. minaki. azania. Tambaza. Zanak. Tabora boys, Ashira. Shycom nk ulikuwa unaheshimika.
Watoto wa 2000+ Sang'udi na arkam mpogoro hawawez elewa hizi hustle
Ukiacha Tabora boys; hizo nyingine zote ulizozitaja siyo special schools.
 
Umeongea kwa hisia sana hadi nikakumbuka mbali enzi hizo ma TO wamejazana mchikichini kupiga pindi tena kwenye mazingira mabovu huku wakishindia mihogo mchana inasikitisha sana ila ndio hivyo watu hawaoni wako bize na bonge la dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…