Shule za vipaji maalumu nchini

Shule za vipaji maalumu nchini

Ww umefafanua vizur.
Miaka ya nyuma, 2000s kushuka chini. mtu ukichaguliwa Pugu. minaki. azania. Tambaza. Zanak. Tabora boys, Ashira. Shycom nk ulikuwa unaheshimika.
Watoto wa 2000+ Sang'udi na arkam mpogoro hawawez elewa hizi hustle
Ukiacha Tabora boys; hizo nyingine zote ulizozitaja siyo special schools.
 
Vipaji maalumu ilikua enzi hizo miaka ya nyuma huko, ila Bado ulikua ujinga tu.... Mtu anakua Tanzania one ataishia kusoma tele engineering udzm tu au kufundisha mchikichini hakuna hata scholarship za maana, nchi wanatoa scholarships za kusomea Algeria, mwaka wa kwanza unalazimishwa kujifunza kifaransa kwanza, alafu ufanye bachelor Kwa kutumia lugha ya kifaransa, watu wakaona upuuzi.....


Tunaongozwa na failures unategemea elimu ipewe kipaumbele??? Nchi ishakua ngumu hii huwezi kuskia wasomi wanapewa airtime kwenye media watu wako busy na bonge la dada na yule msanii wa doto magari
Umeongea kwa hisia sana hadi nikakumbuka mbali enzi hizo ma TO wamejazana mchikichini kupiga pindi tena kwenye mazingira mabovu huku wakishindia mihogo mchana inasikitisha sana ila ndio hivyo watu hawaoni wako bize na bonge la dada
 
Back
Top Bottom