Shule za Secondari 10 zilizokuwa zikibamba Mbeya miaka ya 1990-2005

Shule za Secondari 10 zilizokuwa zikibamba Mbeya miaka ya 1990-2005

1)Iyunga tech
2)Mbeya day
3)Meta Sec
4)Mbalizi sec
5)Sangu sec
6)Mwakaleri
7)Mano seminary
8) Pandahili seminary
9) Mbozi Mission sec
10)Itebde sec

Enzi hizo ebu tukutane happa jmn Tukumushane enzi hizo
Mbona sijaona shule iliyotamba miaka hiyo Rungwe na Mbeya LUTENGANO SEC.PIA KUNA KIPOKE ,NDEMBELA ..
 
Na nimekumbuka bifu la iyunga na MTC, ila kali kuliko zote tuliendaga Mbalizi kucheza mpira, tukawafunga mpira wakatufunga kikapu, tuliwapiga sana hiyo siku hadi wakawa wanaruka ukuta wao kukimbilia nje. Baada ya apo tukaanza kunya kila tulipoona panafaa, tulikunya sana. Siwez sahau
Mwaka gani?
 
Back
Top Bottom