Shule za Secondari 10 zilizokuwa zikibamba Mbeya miaka ya 1990-2005

Shule za Secondari 10 zilizokuwa zikibamba Mbeya miaka ya 1990-2005

Na nimekumbuka bifu la iyunga na MTC, ila kali kuliko zote tuliendaga Mbalizi kucheza mpira, tukawafunga mpira wakatufunga kikapu, tuliwapiga sana hiyo siku hadi wakawa wanaruka ukuta wao kukimbilia nje. Baada ya apo tukaanza kunya kila tulipoona panafaa, tulikunya sana. Siwez sahau
 
Meta was fire.. Mambo ya magetoni mabatini na forest...
 
Tuliosoma samora naomba tukae pembeni tu kuangalia.
 
1)Iyunga tech
2)Mbeya day
3)Meta Sec
4)Mbalizi sec
5)Sangu sec
6)Mwakaleri
7)Mano seminary
8) Pandahili seminary
9) Mbozi Mission sec
10)Itebde sec

Enzi hizo ebu tukutane happa jmn Tukumushane enzi hizo
Legendary atabaki kuwa Iyunga.
Mama lao heshima kwa St. Francis.
 
Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha mbeyaday ya Shaulii ilikuwa pouwa Sana'a siku iziiii mmmmmh
Umeona eeeh....yaani alivyotoka yule akaondoka na nyota ya shule.afu nasikia miaka hiyo walikua wanakula adi samaki,siku izi lile bwawa limegeuka jalala la taka tu[emoji23]
 
Sio kwer mbeaday walikuwa vzr Sana'a miaka ya 2010 kuludiiii nyuma ulikuwa huwezi kuwashikaa kaka huo Ndio ukwer
Mie nimesoma pale miaka ya hivi karibuni.hahaha nammiss tu yule matron wetu kwa galz
 
Yaani performance nzuri iliishia mwaka 2011.tangu apo tumekua tukisaidiana na wenzetu wa meta na iyunga kushika mkia..mwaka huu tukaona tuwapokee meta [emoji2]
Kwa level gani unazungumzia .?
Acha kulinganisha iyunga na vitu vya ajabu
 
Na nimekumbuka bifu la iyunga na MTC, ila kali kuliko zote tuliendaga Mbalizi kucheza mpira, tukawafunga mpira wakatufunga kikapu, tuliwapiga sana hiyo siku hadi wakawa wanaruka ukuta wao kukimbilia nje. Baada ya apo tukaanza kunya kila tulipoona panafaa, tulikunya sana. Siwez sahau
Hahhaha hahhaha hahhaha hahhaha atar Longtime
 
Back
Top Bottom