Shule za miaka ya 1980 na 1990 mwanzoni


mkuu umesahau sengerema
 
maskin bwiru niliposoma miaka ya 2005 leo pamepwaya kabisa
 
Wimbo wa shule tukiwa tumekakamaa ' shule yangu Mara nitakuenziiiii michezo tunacheza vizuri ". Acha kabisa wakuu enzi hizo. Madogo ya siku hizi utoz tu kichwan bure tu
 
Wimbo wa shule tukiwa tumekakamaa ' shule yangu Mara nitakuenziiiii michezo tunacheza vizuri ". Acha kabisa wakuu enzi hizo. Madogo ya siku hizi utoz tu kichwan bure tu

Mkuu sio mitoto tatizo serikali yenyewe ndy ya kulaumiwa kwa sababu watoto wao hawasomi hizo shule.Zamani mwanafunzi akifaulu wenzake walikuwa wanasema mwache anastahili kwenda hizo shule sio sasahivi imekuwa fashion kufauru
 
Jamni yaacheni hayo hawachelewi kusema nyie ni UKAWA mmetumwa.
 
Nilipita NJOSS kamwe sitaisahau O-level yangu pale. Kushindana kupata div one. Elimu ilikuwa bora sana ila na ukiritimba ulisababisha baadhi ya watu wenye sifa kuliko vizazi kata kukosa nafasi.
 
naona umetaja nganza girlz umeacha NSUMBA boyz wakati hyo ni couple toka enzi za mkoloni...... alichokiunganisha mkoloni mbongo asikitenganishe!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…