Shule za kata zinatutia aibu

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
550666_475973029110191_1234181749_n.jpg
 
Ina maana jamaa hata hajui maneno kwenye Tshirt yake yanamaanisha nini?!
Au labda jamaa ni bwabwa; maana vijana wa siku hizi...
 
Iwapo ni moja wa wanaoishi kwa kipato cha shida, na kapewa hizo nguo, ni vigumu kutozivaa.
 
Iwapo ni moja wa wanaoishi kwa kipato cha shida, na kapewa hizo nguo, ni vigumu kutozivaa.

Ni kutojua tu maana ya hayo yaliyoandikwa kwenye Tshirt yake, vinginevyo kama ni kwa shida ya nguo angeivaa ndani nje.
 
Kuna jamaa mmoja nimemuona kavaa t-shirt imeandikwa mortuary tender.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hata shule za kata zina unafuu kwa huyu jamaa! huyu hajapata hata shule ya mjumbe! teh teh.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom