Shule za kata zinatutia aibu

Huyu nae hajui kingereza?

578433_523853294310783_991068407_n.jpg
 
bila shaka huyu atakua hajui kavaa nini nakwambia..! huyu hajui ni kitu gani kavaa..! nakwambia kweli angejua kua kina association na mambo haya asingevaa..! kwanza hata akija kujua atajiskia aibu sana na kwa kujisikia aibu hivyo maana yake ni kwamba hajafurahi kuivaa iyo t-shirt. kwakweli shule ni msingi mzuri sana wa maisha na kujielewa..! hii ina impact kubwa sana kwa serikali yetu na hata viongozi wetu..! mimi ninaamini kabisa hata mikataba mingine ni kwamba ukute jamaa hawaielewi..! na ndio maana wanasign tu bila hata ya kuelewa wanasign nini..! kama mwananchi wako yuko hivi na anajiskia poa tu..! hii inatoa picha ya jinsi viongozi walivyo..! MUNGU IBARIKI TANZANIA... MUNGU WABARIKI WAADILIFU WANAOSIKIA UCHUNGU KWA HALI YA NCHI ILIVYO.. AMINA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom