Shule za Kata vs Shule za Majuu

Aisee Watanzania tunateswa sana na mfumo wa serikali yetu. Na hapa victims of the system ni watu wa tabaka la chini.
 
kwanini unalinganisha shule za kata na shule za majuu? umeenda mbali sana,zilinganishe tu na shule za hapahapa tanzania.
 
Ni ubinafsi na kukosa vipaumbele tu kwa serikali yetu. Balozi Maajar ameingilia kati suala la watoto kukaa chini kwa kuanzisha mfuko wa madawati. Zinahitajika Shs. bilioni 3 tu kuhakikisha kila mtoto anakaa kwenye dawati. Hivi kweli hivi si vijisenti tu kwa serikali yetu?
 
Sure!! imelinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu mkuuu! linganisha shule za mjini na za vijijini, utalia ndani ya nchi hiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…