Shule za Kata vs Shule za Majuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule za Kata vs Shule za Majuu

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Aug 11, 2011.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Hapo juu hiyo ni Shule ya JK


  Shule Unyamwezini hapa chini
  [​IMG]
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,821
  Trophy Points: 280
  Aisee Watanzania tunateswa sana na mfumo wa serikali yetu. Na hapa victims of the system ni watu wa tabaka la chini.
   
 3. j

  jakoyier New Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanini unalinganisha shule za kata na shule za majuu? umeenda mbali sana,zilinganishe tu na shule za hapahapa tanzania.
   
 4. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145

  hapo ndiyo ujuwe tofauti ya quantity na quality....
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  U R RIGHT Mkuu.
   
 6. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Ni ubinafsi na kukosa vipaumbele tu kwa serikali yetu. Balozi Maajar ameingilia kati suala la watoto kukaa chini kwa kuanzisha mfuko wa madawati. Zinahitajika Shs. bilioni 3 tu kuhakikisha kila mtoto anakaa kwenye dawati. Hivi kweli hivi si vijisenti tu kwa serikali yetu?
   
 7. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sure!! imelinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu mkuuu! linganisha shule za mjini na za vijijini, utalia ndani ya nchi hiii.
   
 8. millen

  millen Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2naweza sana kuwa nazo hapa kwe2 hatujataka 2!
   
 9. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  uwezo tunao, ila maamuzi magumu ndio hatuna!
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ni aibu tupu.
   
Loading...