Shule za Feza kufutwa?

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
5,480
6,833
Habari wakuu, baada ya kupokea Ugeni wa Rais wa Uturuki Recep Erdogan ni wazi kuwa kuna uwezekano Taasisi za shule za Feza kufutwa kabisa hapa Tanzania. Baada ya kufeli ya kilichoitwa majaribio ya mapinduzi dhidi ya utawala wake, Rais Erdogan alianza mapambano dhidi ya taasisi zote, maafisa wa serikali, wafanyabiashara na watu wote waliokuwa na uhusiano kwa namna moja au nyingine wanahusishwa na Kiongozi wa dini na msomi bwana Mehmet Fedhullah Gullen ambaye anaishi uhamishoni na kufadhiliwa na serikali ya Marekani. Moja ya taasisi zinazohusishwa na bwana huyu ni Taasisi za shule za Feza. Serikali ya Uturuki inamchukulia Gullen na taasisi zake kuwa ni za Kigaidi na kuhusishwa na majaribio yale ya mapinduzi

Kama mtakumbuka vizuri Rais huyo alitoa maagizo ya kufutwa kwa taasisi zote zilizo katika nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania. Hali hiyo ikapelekea Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mahiga kutoa maelezo kuwa serikali ya Tanzania haiwezi kuzifungia shule hizo kwa kuwa hakuna ushahidi wa tuhuma hizo za kuhusisha na Ugaidi.

Sasa Mzee Erdogan katua nchini, ni wazi k6na sintofahamu juu ya kuendelea kuwepo shule za Feza ambazo ni moja ya taasisi bora za elimu nchini huku watoto wengi wa vigogo serikalini na raia wengi wa kigeni wamesoma na kusomea hapo ( mtamkumbuka mchina aliyeshika nafasi ya pili kitaifa katika somo la kiswahili)

Unaweza pitia habari hii

Turkish President Recep Tayyip Erdogan flew to Tanzania on Sunday to start a three-nation East Africa tour seeking action against the network of an exiled cleric he blames for last year's failed coup.

At issue is an international network of charities and schools affiliated with a movement run by US-based cleric Fethullah Gulen, Erdogan's nemesis, which has been routinely accused by Ankara of coordinating "terrorist activities".

"We will raise the issue of FETO's activities in African countries like Tanzania, Mozambique and others," Erdogan told reporters, referring to Gulen's network, which Erdogan has dubbed the Fethullah Terror Organisation (FETO).

"We will raise with our counterparts what our expectations are in regards to the fight against FETO," he said before leaving on a five-day tour which will also take him to Mozambique and Madagascar.

Following July's failed coup, Turkey launched a major crackdown. It has so far detained more than 43,000 people over alleged links to Gulen, with Erdogan vowing to eradicate any social, charitable or commercial activity with ties to the preacher's Hizmet movement.

Gulen, a former Erdogan ally, vehemently denies he was behind the attempted putsch. A reclusive figure, he has lived in self-imposed exile in the state of Pennsylvania since 1999.

Hizmet describes itself as promoting Islam through charity efforts and educational work in countries stretching from Turkey to Africa and Central Asia to the United States.

But Turkish officials accuse Gulen of using his vast private education network to build influence, and of running a "parallel state" inside Turkey.

Ankara's calls for Washington to extradite Gulen to face trial back home have until now fallen on deaf ears, although it is not immediately clear whether the new administration of President Donald Trump plans to continue that policy

Screenshot_2017-01-23-09-15-54.png


Update...
Naona Erdogan Kashaongea
_20170123_152536.JPG
 
Rais kama anasoma hapa awe makini sana na huyo jamaa. Ana ndimi mbili haaminiki. TISS wapitie historia ya huyo jamaa na wamshauri rais accordingly....
 
Erdogan tangu majaribio ya mapinduzi amekuwa Mbogo
unaamini kabisa yalikuwa mapinduzi? Hebu pitia timeline uone kama ni kitu kinawezekana. Mi naona ilikuwa scripted for special reason....
 
unaamini kabisa yalikuwa mapinduzi? Hebu pitia timeline uone kama ni kitu kinawezekana. Mi naona ilikuwa scripted for special reason....
Ukisoma uzi nimeandika yaliyoitwa Majaribio. Ukiangalia kwa jicho la ndani utaona kuwa uwezekano mkubwa hayakuwa majaribio ya mapinduzi halisi bali ni kujiimarisha.
 
No Feza haziwezi futwa.. yaani marafiki wa zamani wagombane, wawe maadui, kisha mmoja akimbilie na kuishi U.S.. mwingine ni Rais ana power, sasa anatumia power yake ya Urais kumfilisi mwenzake, kwa ugomvi wao binafsi.. hili hapana..

Kwanza huyu Rais wa Uturuki haaminiki, ni kumsikiliza na kumwacha aende zake kwao.. Ugomvi binafsi anataka kumfilisi mwenzake sbb tu yuko madarakani na wametofautiana, ila wakati anamsapoti haikuwa shida, kwa Tz hataweza hilo..
 
No Feza haziwezi futwa.. yaani marafiki wa zamani wagombane, wawe maadui, kisha mmoja akimbilie na kuishi U.S.. mwingine ni Rais ana power, sasa anatumia power yake ya Urais kumfilisi mwenzake, kwa ugomvi wao binafsi.. hili hapana..

Kwanza huyu Rais wa Uturuki haaminiki, ni kumsikiliza na kumwacha aende zake kwao.. Ugomvi binafsi anataka kumfilisi mwenzake sbb tu yuko madarakani na wametofautiana, ila wakati anamsapoti haikuwa shida, kwa Tz hataweza hilo..
Well said Mkuu
 
Back
Top Bottom