Shule za Feza kufutwa?

Shule za Feza kufutwa?

Hapa Uturuki ikiahidi mahindi tanni kadhaa Feza zitafungwa.Karibu Recep Erdogan Tanznania mwenyeji apone...
 
No Feza haziwezi futwa.. yaani marafiki wa zamani wagombane, wawe maadui, kisha mmoja akimbilie na kuishi U.S.. mwingine ni Rais ana power, sasa anatumia power yake ya Urais kumfilisi mwenzake, kwa ugomvi wao binafsi.. hili hapana..

Kwanza huyu Rais wa Uturuki haaminiki, ni kumsikiliza na kumwacha aende zake kwao.. Ugomvi binafsi anataka kumfilisi mwenzake sbb tu yuko madarakani na wametofautiana, ila wakati anamsapoti haikuwa shida, kwa Tz hataweza hilo..
Una uhakika?
 
Una uhakika?
Ni uhakika Gulen na Erdogan walikuwa marafiki kindaki ndaki wenye mtazamo mmoja na wenye harakati moja wamefight pamoja kwa muda ,best friends

Lakini 1999 waligombana sababu ya uongozi ,gulen akaenda zake pennynslavia kuishi na amejenga shule world wide

Huyu Erdogan anahisi Yale mapinduzi ameratibu huyu kisa tu wamekuwa maadui

Serikali isiingilie kati na wakimsikiliza Erdogan watakuwa wamefanyw uonevu mkubwa saana
 
Unawakumbuka "Boys II Men" wa hapa Tanzania na historia yao?
 
No Feza haziwezi futwa.. yaani marafiki wa zamani wagombane, wawe maadui, kisha mmoja akimbilie na kuishi U.S.. mwingine ni Rais ana power, sasa anatumia power yake ya Urais kumfilisi mwenzake, kwa ugomvi wao binafsi.. hili hapana..

Kwanza huyu Rais wa Uturuki haaminiki, ni kumsikiliza na kumwacha aende zake kwao.. Ugomvi binafsi anataka kumfilisi mwenzake sbb tu yuko madarakani na wametofautiana, ila wakati anamsapoti haikuwa shida, kwa Tz hataweza hilo..
Kupindua ni ugomvi binafs
 
unaamini kabisa yalikuwa mapinduzi? Hebu pitia timeline uone kama ni kitu kinawezekana. Mi naona ilikuwa scripted for special reason....
marekani alikuwa kishamchoka endorgan,sema walizidiwa tu ujanja na wananchi hawakuunga mkono mapinduzi,badala yake wananchi wakaanza kuwatandika mijeledi wanajeshi,ilibidi wanajeshi wawe wapole kwani lengo ilikuwa kupindua kwa amani na sio kuua watu,
gullen anafadhiriwa na marekani,na kule marekani kuna mamia ya shule za gulen,na zinapaka ruzuku toka serikalini kujiendesha
 
No Feza haziwezi futwa.. yaani marafiki wa zamani wagombane, wawe maadui, kisha mmoja akimbilie na kuishi U.S.. mwingine ni Rais ana power, sasa anatumia power yake ya Urais kumfilisi mwenzake, kwa ugomvi wao binafsi.. hili hapana..

Kwanza huyu Rais wa Uturuki haaminiki, ni kumsikiliza na kumwacha aende zake kwao.. Ugomvi binafsi anataka kumfilisi mwenzake sbb tu yuko madarakani na wametofautiana, ila wakati anamsapoti haikuwa shida, kwa Tz hataweza hilo..

Issue ni terms za mikataba itakayosainiwa na kwa kuzingatia Uturuki ndio yenye nguvu kifedha/ kiuchumi lazima kama Rais wao atashikilia Feza basi uwezekano wa Feza kuondoka ni mkubwa labda kama Tanzania ina negotiation power house ya nguvu.
 
Nadhani wizara ya mambo nje wameshatoa msimamo w serikali!! Pale kuna wabobezi wa masuala mazito kama hayo! Rais amekuja na yake hasa biashara kati uturuki na africa....pia ujenzi wa reli ya kati jamaa wako vzr sana wanataka tender zote ingawa wa chi wananuna......
 
Habari wakuu, baada ya kupokea Ugeni wa Rais wa Uturuki Recep Erdogan ni wazi kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Taasisi za shule za Feza kufutwa kabisa hapa Tanzania. Baada ya kufeli ya kilichoitwa majaribio ya mapinduzi dhidi ya utawala wake, Rais erdogan alianza mapambano dhidi ya taasisi zote, maafisa wa serikali, wafanyabiashara wote waliokuwa na uhusiano kwa namna moja au nyingine wanahusishwa na Kiongozi wa dini na msomi bwana Mehmet Fedhullah Gullen ambaye anaishi uhamishoni na kufadhiliwa na serikali huko Marekani. Moja ya taasisi zinazohusishwa na bwana huyu ni Taasisi za shule za Feza. Serikali ya uturuki inamchukulia Gullen na taasisi zake kuwa ni za Kigaidi

Kama mtakumbuka vizuri Rais huyo alitoa maagizo ya kufutwa kwa taasisi zote zilizo katika nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania. Hali hiyo ikapelekea Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mahiga kutoa maelezo kuwa serikali ya Tanzania haiwezi kuzingia shule hizo kwa kuwa hakuna ushahidi wa tuhuma hizo.

Sasa Mzee Erdogan katua nchini, ni wazi shule za feza ambazo ni moja ya taasisi bora za elimu nchini huku watoto wengi wa vigogo serikalini na raia wengi wa kigeni wanasoma au kusomea hapo ( mtamkumbuka mchina aliyeshika nafasi ya pili kitaifa katika somo la kiswahili)

Unaweza pitia habari hii

Turkish President Recep Tayyip Erdogan flew to Tanzania on Sunday to start a three-nation East Africa tour seeking action against the network of an exiled cleric he blames for last year's failed coup.

At issue is an international network of charities and schools affiliated with a movement run by US-based cleric Fethullah Gulen, Erdogan's nemesis, which has been routinely accused by Ankara of coordinating "terrorist activities".

"We will raise the issue of FETO's activities in African countries like Tanzania, Mozambique and others," Erdogan told reporters, referring to Gulen's network, which Erdogan has dubbed the Fethullah Terror Organisation (FETO).

"We will raise with our counterparts what our expectations are in regards to the fight against FETO," he said before leaving on a five-day tour which will also take him to Mozambique and Madagascar.

Following July's failed coup, Turkey launched a major crackdown. It has so far detained more than 43,000 people over alleged links to Gulen, with Erdogan vowing to eradicate any social, charitable or commercial activity with ties to the preacher's Hizmet movement.

Gulen, a former Erdogan ally, vehemently denies he was behind the attempted putsch. A reclusive figure, he has lived in self-imposed exile in the state of Pennsylvania since 1999.

Hizmet describes itself as promoting Islam through charity efforts and educational work in countries stretching from Turkey to Africa and Central Asia to the United States.

But Turkish officials accuse Gulen of using his vast private education network to build influence, and of running a "parallel state" inside Turkey.

Ankara's calls for Washington to extradite Gulen to face trial back home have until now fallen on deaf ears, although it is not immediately clear whether the new administration of President Donald Trump plans to continue that policy

View attachment 462915
mwigulu mtoto wake itabidi amhamishe toka pale, lakini kwasababu ile shule inawafaidisha sana watz kwa kutupatia elimu nzuri na kutoa ajira, Turkey watatupatia nini in exchange chenye faida kubwa kuliko ile shule? kama uhusiano tu wa kawaida bora uvunjike na shule ibaki kwasababu shule ina faida kwetu sana. pia, maamuzi yeyote tutakayoamua kuyachukua itabidi tujitathimini kwanza tusichafuke kimataifa na wawekezaji kuogopa kuja kwetu.
 
marekani alikuwa kishamchoka endorgan,sema walizidiwa tu ujanja na wananchi hawakuunga mkono mapinduzi,badala yake wananchi wakaanza kuwatandika mijeledi wanajeshi,ilibidi wanajeshi wawe wapole kwani lengo ilikuwa kupindua kwa amani na sio kuua watu,
gullen anafadhiriwa na marekani,na kule marekani kuna mamia ya shule za gulen,na zinapaka ruzuku toka serikalini kujiendesha
Looks like mainstream media's mind control games are in play here. U have memorized pretty much every word from their 'official' reports.

Tatizo ni umeelewa hayo maneno uliokunywa hapo juu?
 
The Coup attempts were dramatised for Erdogan's political reasons. Something fishy was going on behind these faked coup attempts.
 
Kama nchi hii ni yake zitafutwa lakini kama ni yetu hakuna kitu kama hicho?. Na hii ni challenge kwa uwezo wa wakuu wetu wa nchi.
 
Issue ni terms za mikataba itakayosainiwa na kwa kuzingatia Uturuki ndio yenye nguvu kifedha/ kiuchumi lazima kama Rais wao atashikilia Feza basi uwezekano wa Feza kuondoka ni mkubwa labda kama Tanzania ina negotiation power house ya nguvu.

Feza hazina elements za kigaidi, wala hazitoi mafunzo hayo, serikali kupitia waziri Mahiga ilisema wazi wazi, hakuna ushahidi hizo shule zina elements za kigaidi kama huyo Rais wa Uturuki anavyotaka kuaminisha watu... ukiacha shule hizo, je na hospital mbalimbali za Gullen nazo zinafanya ugaidi..? ni uongo mtupu, bahati nzuri serikali yetu ilishaweka msimamo wake madhubuti kuwa haziwezi zifunga...

Ww unaangalia Uturuki tu, kwa taarifa yako Gullen yuko U.S, na ni rafiki wa U.S, so hata assets zake ktk nchi kadhaa duniani, U.S itamsaidia, so U.S hawawezi acha rafiki yao ananyanyaswa kihuni na mwenzake... hilo kaa nalo vema, U.S is the most powerful, Uturuki kitu gani bana.. Huyu Rais wao anakosea sana..
 
Issue ni terms za mikataba itakayosainiwa na kwa kuzingatia Uturuki ndio yenye nguvu kifedha/ kiuchumi lazima kama Rais wao atashikilia Feza basi uwezekano wa Feza kuondoka ni mkubwa labda kama Tanzania ina negotiation power house ya nguvu.
_20170123_152536.JPG

FEZA zitapotezwa.
 
Back
Top Bottom