Shule za English medium na Mahali zilipo Tanzania

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,559
45,879
Naomba tusaidiane wazazi kwa kuambiana Shule za English medium.

Kumekuwa na changamoto kwenye uchaguzi wa Shule kwa wazazi ambao watoto wetu wanaanza class one itatusaidia.

Naomba utaje Jina la Shule, eneo ilipo na ukiweza kutaja sifa yake itasaidia pia

Asanteni
 
Ili iwe rahisi ni bora ungetaja sehemu ulipo, ili mtu akutajie shule iliyo karibu na unapoishi
 
Kuna shule inaitwa Jerusalem....iko kimara korogwe nimechukua fomu pale kwa ajili ya binti yangu.
Interview wanafanya tar 26/11 na 03/12....ni shule nzuri pia.
 
English medium ili iweje? Toto kama halina akili halina tuu.

Hizo shule zinawalemaza sana watoto, wanakua wakiwa na mentality za 1st world countries ambako kijana akigraduate tuu ajira inamsubiri, wakati yuko 3rd world country ambapo lazima atajue maisha ya mtaa ndipo ataweza kutoboa maishani.
 
Kwani shule wanapelekwa watoto wenye akili mkuu??

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
 
English medium ili iweje? Toto kama halina akili halina tuu.

Hizo shule zinawalemaza sana watoto, wanakua wakiwa na mentality za 1st world countries ambako kijana akigraduate tuu ajira inamsubiri, wakati yuko 3rd world country ambapo lazima atajue maisha ya mtaa ndipo ataweza kutoboa maishani.
Hizi ndo kauli za watu wenye fkra kama za Magufuli wanakuambia kingereza cha nini c ni lugha tu kama kisuma, hao watu ni hatari sana pia
 
Naomba tusaidiane wazazi kwa kuambiana Shule za English medium.

Kumekuwa na changamoto kwenye uchaguzi wa Shule kwa wazazi ambao watoto wetu wanaanza class one itatusaidia.

Naomba utaje Jina la Shule, eneo ilipo na ukiweza kutaja sifa yake itasaidia pia

Asanteni
Kusema ukweli baadhi ya shule za English mediam hapa Tz ni chagamoto sana ada yao kubwa average ni 1.2m hadi 2m lakini wanafunzi wanacho pata akiendane na hiyo ada ni likuta mualimu moja hata kiingereza ni kibovu hata kuliko cha mwanangu nili mskia ana mwamrisha mtoto "dont repeat me" kwa maana usinifuatishe maneno.....I was dis appointed.
 
Shule ni Gharama Sana hadi zinakera

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
 
Naomba tusaidiane wazazi kwa kuambiana Shule za English medium.

Kumekuwa na changamoto kwenye uchaguzi wa Shule kwa wazazi ambao watoto wetu wanaanza class one itatusaidia.

Naomba utaje Jina la Shule, eneo ilipo na ukiweza kutaja sifa yake itasaidia pia

Asanteni
Peleka mtoto shule kulingana na urefu wa kamba yako zipo shule za mtaa wako, kata yako,kata jirani, wilaya, mkoa au mkoa mwingine nk kila shule ni nzuri tu maana vyeti havitoi ajira sikuizi ni connection
 
Naomba tusaidiane wazazi kwa kuambiana Shule za English medium.

Kumekuwa na changamoto kwenye uchaguzi wa Shule kwa wazazi ambao watoto wetu wanaanza class one itatusaidia.

Naomba utaje Jina la Shule, eneo ilipo na ukiweza kutaja sifa yake itasaidia pia

Asanteni
Siku hizi kila locality Kuna shule za kutosha.Mpeleke mtoto shule ya karibu,mnawatesa Sana watoto kwa kupenda sifa za kijinga.
 
Mwilamvya pre primary secondary & high school ipo kigoma wilaya ya kasulu hii shule ni nzuri saana
Ada primary ni milion na laki moja day
Milion na laki 3 boarding
Kigoma nzima hakuna kama hawa

Alafu kuna
●Bishop mlola(kigoma mjini)
●Ndameze
●juventus (kigoma mjini katosho)
 
Mbona rahisi hivo mkuu.hyo ada tu kwa dar ni school bus
 
Back
Top Bottom