Shule ya Mbuyuni Kutoa First Ladies Wawili

 we jamaa umejua kunichekesha! Kwani unampango wa kuwa waziri kwenye serikali ijayo? Kama ndivyo can I be your mchepuko plz?
inawezekana lakini sasa wewe ni binti kiziwi sitoweza kunong'ona kwenye simu. itabidi niongee kwa sauti kubwa ambayo bila shaka itamstua mam sap. siunajua tena akina kibonde watapata cha kusema, sijui baki njia .......
 
Katika hali isiyo ya kawaida, kama itatokea Dr. Magufuli akashinda na kuwa rais, mke wake aitwaye Janet magufuli atakuwa ni mke wa pili wa rais kutoka shule ya msingi Mbuyuni. Shule hiyo ndiyo anayofundisha mke wa Rais Kikwete mama Salma Kikwete. What a Coincidence!

kumbe mke wa magufuli ni mwalimu?
 
First Lady Mwalimu wa Shule ya Msingi then mnashangilia.....Ndio maana maraisi wetu hasa aliyepo sasa alikuwa ana underpafomu sana hakuwa na ushauri kutoka kwa mkewe.....
 
Wee kichaa eee??? mshauri wa rais tangu lini akatokea chumbani???
 
Katika hali isiyo ya kawaida, kama itatokea Dr. Magufuli akashinda na kuwa rais, mke wake aitwaye Janet magufuli atakuwa ni mke wa pili wa rais kutoka shule ya msingi Mbuyuni. Shule hiyo ndiyo anayofundisha mke wa Rais Kikwete mama Salma Kikwete. What a Coincidence!

Anayofundisha!!! Hivi mama Salma bado anafundisha, mimi nilijua baada ya kua First Lady aliacha kufundisha!!!
 
Back
Top Bottom