Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 660
- 600
Mkuu ww ni mtu watano unanitisha. Mm nimeambiwa hawa mbwa ndo wazur sana kwa ulinzi na ni wepesi kushika mafunzo. Nzur zaid nasikia uwezo wao wa kunusa ni mkubwa mno. Anaweza kunusa harufu ya kitu umbali wa mita 120,hii inamaana Pitbull mmoja anatosha kung'amua uwepo wa mtu mgeni ndan ya nyumba kwakunusa harufu tu na anachukua hatua kumdhibiti mtu huo.Hawa mbwa sio rafiki kabisa na hawana mchezo kila wakati wamenuna tu
Miaka ya nyuma walipigwa marufuku UK kwa sababu ya ushambuliaji wa ghafla
Wameua hasa watoto wadogo na kuvamia watu pindi wanapoachiwa kwenye park
Hawa mbwa unapaswa kumvunga mdomo kama yule jamaa wa movie ya Con Air
Naomba sifa zake mkuuUnamfahamu Rottweiler wewe PUTBUL cha mtoto
Tatzo ni wagumu kushika mafunzoWacha kununua mbwa wa kizungu mkuu,mbwa wa kisambaa wamejaa korogwe-mombo hadi mazinde huko na ni wakali balaa.
Nisaidie kuzifahamu mkuushule zipo
Asante kwa ushauri mkuuNenda kituo cha Polisi uwaulize unaweza kupata jibu sahihi mkuu.
Angalizo: Usikubali askari akuambie atakufundishia kwa njia za upenyo
Nakushukuru kwa ushauri mkuuNenda kikosi cha polisi..utapata taarifa zote kuhusu mafunzo
Unamfahamu Rottweiler wewe PUTBUL cha mtoto