Shule ya Kiteto Kuitwa J. Kikwete Ni sawa?

Wambugani

JF-Expert Member
Dec 8, 2007
1,757
276
Nimeona Mkuu wa Mkoa wa Singida ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dr. Parseko Kone
aliwaambia wananchi wa Kiteto waite Shule ya Sekondari ya Laalakir iliyojengwa kwa msaada wa Wachina iitwe Shule ya Sekondari ya JK.

Sioni haja ya kuita shule kwa majina ya marais. Itakuwaje kama kila Wilaya itaipa shule
jina la Rais. Si tatkuwa na shule zenye majina yanayofanana ni bora majina ya asili ama
majina ya watu muhimu katika jamii ile yatumike.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom