Shule ya katibu mkuu wa chadema dr willibroad slaa majanga

Shule ya katibu mkuu wa chadema dr willibroad slaa majanga

I don't think if this is the way to argue. Sometimes we must have humanity and behave like grown ups not like vagabonds. This school isn't Dr Slaa's school but named by Slaa's name. Let us not deform Dr Slaa simply because of personal interests. Remember one day you will be required to count on all those deeds of yours
 
  • Thanks
Reactions: aye
Mbona hiyo dr slaa matokeo yake ni zaidi ya mazuri. Ukilinganisha na baadhi ya shule kata hiyo ni the best kabisa
 
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA


CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS




S4509 DR. WILBROAD SLAA SECONDARY SCHOOL




DIV-I = 0 DIV-II = 4 DIV-III = 19 DIV-IV = 29 DIV-0 = 10

Tunajifunza nini hapa?

Kuna tofauti kubwa shule/mahali kuitwa baada ya jina la mtu fulani na UMILIKI wa shule/mahali yenyewe. Mfano, tuna uwanja wa ndege wa Mwl Julius Kambarage International Airport JKIA, hii haimaanishi Hayati Mwalimu ndiye mmiliki...so is the same point kwa mashule, viwanja vya michezo, barabara n.k.
 
Alikuwa na lengo la kuchonganisha lakini majibu yake kayapata
 
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA


CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS




S4509 DR. WILBROAD SLAA SECONDARY SCHOOL




DIV-I = 0 DIV-II = 4 DIV-III = 19 DIV-IV = 29 DIV-0 = 10

Tunajifunza nini hapa?

nini chakujifunza kama we sio mnafiki2
 
Jf bhana raha sana. Naona mwaka huu hakuna kulinganisha zile za walalamishi na ' watawala' wao
 
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]SHULE
[/TD]
[TD]DIV 1[/TD]
[TD]DIV 2[/TD]
[TD]DIV 3[/TD]
[TD]DIV 4[/TD]
[TD]DIV 0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ASKOFU ADRIAN MKOBA
[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]22[/TD]
[TD]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]GEORGE WASHINGTON[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]4
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]LOYOLA SEC SCHOOL[/TD]
[TD]55[/TD]
[TD]103[/TD]
[TD]25[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]KAENGESA SEMINARY[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]15[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MARIAN BOYS[/TD]
[TD]100[/TD]
[TD]10[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]NYERERE HIGH SCHOOL[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]14[/TD]
[TD]31[/TD]
[TD]75[/TD]
[TD]27[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AMAHAH ISLAMIC SEMINARY[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]14[/TD]
[TD]31[/TD]
[TD]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ST JOSEPH MILLENIUM[/TD]
[TD]85[/TD]
[TD]53[/TD]
[TD]18[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]FIDEL CASTRO SEC SCHOOL[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]39[/TD]
[TD]14[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]RASHID MFAUME KAWAWA[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]14[/TD]
[TD]16[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MARIAN GIRLS[/TD]
[TD]96[/TD]
[TD]20[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MARKAZ ISLAMIC SEMINARY[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]10[/TD]
[TD]34[/TD]
[TD]11
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CANOSSA SEC SCHOOL[/TD]
[TD]62[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ITAGA SEMINARY[/TD]
[TD]17[/TD]
[TD]26[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Nimegundua jina si hoja, wala msishupalie jina. Shupalia ni Nani Anamiliki hiyo shule na ni aina ya watoto waliotoka darasa la saba kujiunga na shule hiyo, aina ya uchujaji, mtindo wa ufundishaji, motisha kwa walimu, juhudi ya wanafunzi na utaratibu wa usahihishaji na upangaji matokeo. Ebu tujiulize, mpangilio wa matokeo ulivyoamuriwa mwaka jana unaendana na contents za sera ya elimu iliyopo, yani ya mwaka 1995? Looh, Matokeo Makubwa sasa hoyeeeeee!!!
 
Wewe mnafiki ungeleta na matokeo ya shule zingine.pia sijui yeye ndo mmiloki au jina la kumuenzi!kama jina tu utakuwa ----- kuleta huu uzi.🙁😀😀😀
 
Zambez sec. Div1. 34 div. 2 16 div3. 6 div 4 ...0. Div5. 3.
 
Gambazi mbona kuna vitu mtafutiza havina mantiki yoyote. Ebu angalia shule ya SALMA K.
 
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 100%"]EXAMINATION CENTRE RANKING
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 50%"]EXAMINATION CENTRE REGION
[/TD]
[TD="width: 50%"]ARUSHA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]TOTAL PASSED CANDIDATES
[/TD]
[TD="width: 50%"]52
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]EXAMINATION CENTRE GPA
[/TD]
[TD="width: 50%"]4.4683
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]CENTRE CATEGORY
[/TD]
[TD="width: 50%"]CENTRE WITH 40 CANDIDATES OR MORE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(REGIONWISE)
[/TD]
[TD="width: 50%"]31/150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE)
[/TD]
[TD="width: 50%"]559/3256
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
hebu mtoa mada uwe unanagalia position ya kimkoa na kitaifa ndo unatoa mada. hizi siasa za kuchukia mtu siyo nzuri kabisa ni wa 31 kati ya shule 150 mkoa wa arusa na ni ya 559 kati ya shule 3256 kwenye shue zenye zaidi ya wanafunzi 40 kitaifa hii shule haijafanya vibaya
naomba kuwasilisha.
 
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 100%"]EXAMINATION CENTRE RANKING
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 50%"]EXAMINATION CENTRE REGION
[/TD]
[TD="width: 50%"]ARUSHA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]TOTAL PASSED CANDIDATES
[/TD]
[TD="width: 50%"]52
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]EXAMINATION CENTRE GPA
[/TD]
[TD="width: 50%"]4.4683
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]CENTRE CATEGORY
[/TD]
[TD="width: 50%"]CENTRE WITH 40 CANDIDATES OR MORE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]CENTRE POSITION IN I TS CATEGORY(REGIONWISE)
[/TD]
[TD="width: 50%"]31/150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE)
[/TD]
[TD="width: 50%"]559/3256
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
hebu mtoa mada uwe unanagalia position ya kimkoa na kitaifa ndo unatoa mada. hizi siasa za kuchukia mtu siyo nzuri kabisa ni wa 31 kati ya shule 150 mkoa wa arusa na ni ya 559 kati ya shule 3256 kwenye shue zenye zaidi ya wanafunzi 40 kitaifa hii shule haijafanya vibaya
naomba kuwasilisha.

wewe nawe ndiyo unaamka saa hizi? hujaweka jina la shule wala nini!! au ni arusha region secondary schools result?
 
Kale kamtandao kaliko gawa maksi za watu fulani kwa tatu na wengine kwa mbili katakuwa hakakugawa hizi maksi za hii shule kabisaaaa ndo maana na yenyewe imo kwenye kuongoza ongoza.ila wigo sasa wa wanafunzi wake ni kama wa mwenye shule mwenyewe. Basi ni hayo tu.
 
Upuuzi na utoto mtupu ivi slaa,Zitto au mwigulu ni walimu au wao ndio wamefanya mitihan kama upeo wenu ni nukta achen kupost vitu ambavyo havina tija kwa jamii
 
Back
Top Bottom