Shule ya Bendel Memorial Moshi wanachapa sana watoto

oooh kumbe case study ni Mexico? Hebu fanya iwe Tanzania ili twende sawa.
i see thinking capacity yako ndo unafaa kabisa kuwa mwalimu ila ndo hivo mi nshakua na hamna namna

Oooh! Yaani nikikutoa nje ya TZ huelewi kabisa eti!
Case study! kwa nini practiced behaviour au norms unaita case study? Evelyn, hebu tuendelee baadaye utagundua mimi niko wapi na utanipenda tu! Ikiwezekana usione aibu kuwa mwanafunzi wangu.

Now, you are inviting me to zero in my thinking to Tanzania. Don't drag me into ignorance. I am educated and I like to be an educator who look at the world from the sky with no horizon scapegoat. I am catholic in education. Niulize sayansi nitakumegea, siasa nitakupa, sayansi jamii usiseme, etc.

Nakushauri ujinasue na mawazo mgando. jiulize kwa nini wakoloni walitoa elimu na fimbo kwa waafrika, lakini shule za watoto wa kizungu hawakuchapwa fimbo. Leo hii tuko nyuma kielimu pamoja hizo fimbo na hakuna nchi ulaya ya kati inayochapa fimbo na elimu yao iko very fine!
 
Si kua sielewi, nlimaanisha sijui kwa huko sheria ya viboko mashuleni ipoje na huenda kweli haipo kabisa
ok mr educator swali moja tu, kwa mtazamo na mawazo yako...viboko vinasaidia au havisaidii?
 
Viboko vikisha tumika inakuwa ni adhabu. Lengo la adhabu ni deterrent. Kama mtoto akiwa ni mwizi kiboko kinaweza kuwa ni deterrent ili asiibe, kama mtoto wako anatukana watu kwa ukorofi wake, kiboko ni deterrent aachane na ukorofi.

Sasa tofautisha hayo na mwalimu anayefundisha Vita ya maji maji, wanafunzi hawaelewi au anafundisha Archimedes's Principle halafu anaamua kutumia kiboko. Lengo ni nini? Hiyo ni adhabu, deterrent, ili iweje? Angeweza kusema labda wanafunzi hawakuingia darasani na sasa anatumia kiboko kama deterrent ili waingie Darasani na wafundishwe, lakini hakuna! yeye anaamua tu kupiga kama ile amri ya Pinda bila kujali au kujiuliza udhaifu wake wa kuwaelimisha wengine au hata tofauti ya binadamu kuelewa mambo. Tunatofautiana kuelewa mambo tofauti. Hiyo ni anthropology tutaelezana siku nyingine ukipenda.

Shule nyingi sana za aina ya kwako, ambazo wanapigwa kama ngoma, wanafunzi hawajiamini maana wanazoea kuepuka mtu anayewazidi, ambaye angewafundisha lakini sasa ni adui yao. Hata baba au mama wa aina hiyo anawafanya watoto wasiulize na kila akiingia wanatokomea vyumbani. Eti mama au baba ni mkali. Rubbish!

Kwa ujumla sisi ni binadamu, wenye utashi, wenye maaamuzi baada ya kufikiri. Matokeo ya viboko vya kipuuzi kama hivi ni tofauti kwa kila mtu na hakuna universality.

Hebu angalia video ifuatayo halafu niambie kama kweli kuna darasa ambalo wanafunzi wanaweza kuwa wapuuzi wote kiasi cha kupewa fimbo wote. Ni matokeo ya kuwaruhusu waalimu kama wewe kuchapa vijana, munakuwa addicted, munapenda fimbo kama pochi au handkerchief na kujikuta sasa kila sehemu ni kuulizia umpige nani kama huyu mzazi alivyouliza. You can't make caning part of training human being, it is a deterrent!

https://www.youtube.com/watch?v=KJq8PqvMFaM
 
Kwenye gazeti lako hili hapo nlipoeka rangi ndo jibu la swali langu, nami nasema wapigwe tu (in pinda's voice) ha ha ha
Mr educator una jazba, afu ukiongea mwalimu kuchapa viboko nadhani picha inayokuja kichwani kwako unahisi kama vile nachapa ng'ombe, viboko visivo na idadi eeeh??? , sheria ya viboko nadhani visizidi vitatu (nami nikiongeza vyangu viwili sio mbaya lol).....viboko vitumike tu pale inapobidi.
nikuondoe hapo utata wa kusema shule kama za kwangu sema tu direct "shule za serikali"
 
Nahisi unanufaika na mabishano haya! I will soon have no time to continue struggling with your less attention to important educational facts posted herein.

Did you watch the video?
Did you read the mchunguzi problem correlated with your arguments?
Do you see how mchunguzi correctly raised a point?
I believe you just jumped into the topic without proper cerebral energisation.

If those few short paragraphs qualify to be called gazeti by your assessment, surely you are one of those lazy teachers who can't read any brain training document to its end.
 
Mwl kama anataka aibu Cheka na hao watoto piga na fimbo hawafi hata kidogo
 
Tatizo ni kuchwapwa au Tatizo ni idadi ya fimbo anazochapwa. Kama Tatizo ni kuchapwa basi utakua umekosea sana ni muhimj watoto wakafundishwa adabu na njia mojawapo ya kurekebisha ni kuchapwa. Na kama Tatizo ni idadi ya fimbo ww unafikiri ni idadi ngapi ya fimbo inamtosha mwanao, mtoto anaweza chapwa fimbo 2 na bado akaja kusema nimechapwa sana. Walimu wanajua wanachofanya hatamuumiza wala kumuua mwanao...!!
 
Kijana wangu anasoma pale kidato cha pili na nimempekeka juzi tarehe 29 June hajawahi nieleza kama viboko ni tatizo. Hata hivyo nitafuatilia
 
Nahisi unanufaika na mabishano haya! I will soon have no time to continue struggling with your less attention to important educational facts posted herein.

Did you watch the video?
Did you read the mchunguzi problem correlated with your arguments?
Do you see how mchunguzi correctly raised a point?
I believe you just jumped into the topic without proper cerebral energisation.

If those few short paragraphs qualify to be called gazeti by your assessment, surely you are one of those lazy teachers who can't read any brain training document to its end.
Nanufaika nini? nmechukulia kukuheshimu tu ujue ndo maana nakujibu tu vizuri, nimeliita gazeti kwa sababu nmekuuliza swali viboko vinasaidia havisaidii? Umeruka ruka kama maharage kwenye sufuria, mara personal attack...nnachoona ni majisifu tu unashule unashule sijui wa kamachumu wewe, mi sina shule niliishia darasa la tano B, ni lazy teacher na still natumia what you call old way of teaching (viboko) kuna shida??? Basi tulale....
 
Tatizo ni kuchwapwa au Tatizo ni idadi ya fimbo anazochapwa. Kama Tatizo ni kuchapwa basi utakua umekosea sana ni muhimj watoto wakafundishwa adabu na njia mojawapo ya kurekebisha ni kuchapwa. Na kama Tatizo ni idadi ya fimbo ww unafikiri ni idadi ngapi ya fimbo inamtosha mwanao, mtoto anaweza chapwa fimbo 2 na bado akaja kusema nimechapwa sana. Walimu wanajua wanachofanya hatamuumiza wala kumuua mwanao...!!

Kijana wangu anasoma pale kidato cha pili na nimempekeka juzi tarehe 29 June hajawahi nieleza kama viboko ni tatizo. Hata hivyo nitafuatilia

Read the following testimony;

Nimesoma pale aisehh fimbo unaamka nazo asubuhi wakati wa kwenda church ukichelewa yaani dahhh lakini nashukuru nlifaulu kwenda chuo ........huyo patron nemes ni shida ananyuka fimbo balaaaa sio kama anaonea sema anafanya haki maana fimbo utachapwa kama umedodge kanisani asubuhi, umechelewa kuingia assembly, umedodge kuingia darasani, hufuati sheria za shule vizuri, ukifeli mitihani, na mambo kibao hapo ni kwa ufupi mengi zaidi ni pm
 
Jamani wote tunajua somo la hesabu limekuwa tatizo kwa sababu walimu wamepunguza viboko walimu wa siku hizi matozi Toto alijui hata kudrive quadratic formula unacheka nalo .Mwl private school ana heshimika kwa matokeo hakuna kucheka na mtoto wa kiafrika toka enzi za ukoloni viboko vimetumika manufaa yameonekana
 
naona wewe ungejaribu kuvaa viatu vya mwalimu ukajua mazingira na tabia za wanafunzi shuleni zilivyo ngumu. watoto wa kiafrika hawa hawaendi bila fimbo. otherwise utazalisha mitoto yenye sifa za utukutu na shule itapata sifa kubwa ya utukutu. mfano mzuri shule za kata za mjini watoto wana vitabia vya ajabu sana vya uswahilini wote boys na girls ambazo usipoziondoa haraka unaweza pata danguro la umalaya na bangi shuleni.
wacha watoto wapate fimbo.
 
MimI sidhani km wanapiga bila sababu..
There must be a reason...na jitahidi uwe unafuatilia huko shulenI usisikilize tu one side..
Ht shule niliyosoma mimi ni private ni kunyukwa kwa kwenda mbele km una makosa ...mfano
#Wakati wa remedial classes lazma wote muwe class ole wenu mkutwe colidoni mnapiga story eti kisa ticha hajaingia...km hajaingia jisomee...
#ukikitwa umevua tai na hujachomekea ni fimbo
#ukikutwa bwenini bila sababu maalum mda wa kuwa assembly. .nk
Yote hayo ni kuvunja sheria...so ilikua lazma uchapwe..cz adhabu zingine watu hawaziogopi
Sasa kmhiyo shule inasheria zake km mdau alivyotoa ushuhuda..hutakiwi kukosa sala na vitu vingine lzm atachapwa
 
watoto wa siku hizi wanaaribika sana na wanaochangia mijitoto kuaribika ni baadhi ya wazazi tena wengi wa mjini kama huyo mleta mada hawataki watoto wachapwe ndio maana tunakua na ongezeko kubwa la mashoga kwa sababu wanataka watoto walelewe kama yai na si ajabu mzazi wake alikula kiboko akafanikiwa sasa kamsomesha yeye bila kiboko ni asara kwa taifa
 
We ndo umewaza mchunguzi ni housemaid mi nimemjibu kama mzazi
Sina watoto wa kunichosha mtoto wangu ndo kwanza hata mwaka hajafikisha na sidhani kama atakuja kunichosha make hakunaga tembo anaechoshwa na mkonga wake
back to topic, nlivomwambia huyu hata mzazi mwingine ntamwambia pia, shule nnayofundisha wanakujaga wazazi na malalamiko haya haya mara mtoto siju kapewa adhabu, mara kachapwa utakuta mtoto mwenyewe hata sie walimu anatuchosha ni basi tu tunakomaa nae kutimiza majukumu, yap tunalea watu hatulei mayai, mie kama mwalimu adhabu na viboko ni part ya kumfundisha na sio kumkomoa mtoto wa mtu, hivo kama unaona mwanao anaonewa, anachapwa sana beba peleka wasikochapwa ambako hakuna old way of teaching

Intelligent answer, yaani ningekupa buku ungekua karibu
 
Back
Top Bottom