Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,482
- 40,496
Mafanikio ni jitihada pamoja na bahati pia
Uko sahihi mkuu hata Mimi nimegundua hilo.
Kwa Tanzania kadri unavyozidi kusoma sana ndio kadri unavyozidi kupunguza asilimia za kufanikiwa na kuwa kituko ktk jamii.
E.g Lpumba,Palamgamba,Shika.
Mkuu hatumaanishi kusoma kwamba hakuna maana ila elimu standard tu inahitajika Kama ya first degree inatosha kabisa kutoboa.Wewe na Lipumba nani kituko? Lipumba anamiliki nyumba Mbezi Beach, anatembelea V8 unamuita kituko? Hebu kuwa serious Mkuu Elimu ni muhimu sana hata Billgates alifika chuo tena Havard
Mafanikio ya mtu hupimwa na utajiri pekee? Je mimi nikisema nimefanikiwa utanielewa?
KaribuUmeandika vizuri
HahahahahNimekukubali, binafsi nawaona washikaji waliotuburuza darasani now days tunawaburuza mtaani
Chukua HatuaHakuna idadi rahisi kuijua kama ya matajiri ambao hawajasoma,maana ni wachache na rahisi kuwahesabu..pia matajiri hawa wa Tanzania wanafanya biashara za ushirikiano na wasomi,kuna watu wanapokea mgao na maisha yanaenda, sio lazima uonekane eti una majengo kibao magari kibao ndio fahari yako.Mfano kupitia Bakhressa wengine wanaishi vizuri na nyumba nzuri na wamesoma.. Captain wa meli ya Kilimanjaro hawezi kuwa na elimu ya kuendeshea jahazi..na ujue ana maisha mazuri.
Sina maana mbaya ila uliigaiga tu kwa wenzako, flani kaenda form six na mimi lazima niende!! utasoma kwa ku force, lkn kuna watu walipenda kwa moyo wote kuwa Clinical officers tu, na kweli wanafanya kazi nzuri zaidi ya Dr bingwas , na wanamiliki Hospitals kubwa sana na mabiashara mengine!!Kwenda shule ni some times ni kupoteza muda!!!
Kuna watu watasema nasema hivo sabab cjaenda shule..mm nmesoma sn ndo maana masema hiv