Shule Nzuri ya Boarding kwa mtoto wa miaka 3 - 4

ukuta2013

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
275
Reaction score
98
Wana JF, natafuta shule nzuri ya English medium (Boarding school) zilizoko mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kwa ajili ya mtoto wangu wa kike mwenye umri wa miaka 3 na mwakani atatimiza miaka 4. Hivyo naomba msaada wenu ili niweze kupata shule hiyo kwa ajili ya mwanangu. Mwenye kujua shule nzuri (nasisitiza shule nzuri) hasa zilizoko mikoa ya Kilimanjaro na Arusha naomba anitajie ili niweze kumpeleka mwanangu. Asanteni sana.
 
Wewe uko sawa kweli?
Utampelekaje mtoto wa miaka 3 boarding school?
Yaani umesahau jukumu la kwanza la kulea ni mapenzi? Kati ya mtoto na wazazi ni kuweza kuwa karibu nae hasa akiwa wa umri mdogo.
Hivi haka kasichana katakuja kukutambua wewe kama mzazi wake na kuwa na mapenzi na wewe atakapokua mtu mzima? Maadili gani atapewa shule ambako hata iweje au iwe ya gharama yeyote ile hayatofikia ya wazazi.
Hata kama una matatizo ya aina yeyote ile, mtoto wa miaka 3 anakutegemea saaana ki-saikolojia. Hivyo usimtelekeze kwa kumpeleka boarding school.
Nijuavyo mimi, kwa umri huo shule zilizopo ni za watoto yatima tu.
 
Ndg,
Hakuna shule nzuri kuliko ndani ya familia.
Najua kuwa huenda umefarakana na mama-toto, au huenda ulizaa huyo toto nje ya mahusiano rasmi, lakini kama imeshindikana kbsa bora huyo mtoto umpeleke hata kwa dada au shangazi zako kuliko kumtelekeza kwa Mwalimu-Dunia.
Nitakupa mfano tu, kuna shule Arusha inaitwa St Constantine, kwa nje na kitaaluma ni First Class, of course hata kwa bei, na ina watoto wa boarding hadi wa umri huo ma mtoto wako.
Lakini ndg yng, ukiingia kule ndani kabisa ukachunguza, machozi yatakumwagika, na kama uko short-tempered kama mimi utabeba mtoto wako urudi nae nyumbani.
 
Ndugu Matembele naungana nawewe kwa asilimia Mia anaelekea nijinsi gani asivyo mpenda mwanae, mtoto wa umri wa chekechea mpaka shule ya msingi ni muhimu akasoma chini ya wazazi wake nahuo utakuwa ni msingi mzuri kwake
 
Are you serious? This is so horrible and unfair to your child manake katika young and tender age kama hiyo hakuna kitu anachohitaji kama kuwa na wazazi, kumpeleka boarding school ni sawa na kumtelekeza au kukimbia majukumu. Sidhani kama katika developed countries kitu kama hiki kinaruhusiwa unless mtoto wako awe ana behavioural issues au some kind of a condition au ugonjwa.

Kwa experience yangu, watoto wengi ninaowafahamu waliopelekwa boarding wakiwa na umri mdogo wengi wao wameharibikiwa sana. Ukimpeleka huko ujue bangi ataianza mapema, ngono ataianza mapema, maneno yote machafu atayajua kabla hata hajafika miaka mitano na nidhamu huwa inakuwaga zero. Nakubaliana na mdau hapo juu, hakuna best school kama 'mzazi', walimu wanasaidia tu.
 
Yaani wakati mtoto anahitaji malezi yenu wazaz nyie ndiyo mnamtupa katika malezi ya watu mbalimbali, kaa na mwanao karibu ili umlee katika njia uipendayo wewe, huko utakapompeleka atapewa malezi ila siyo kama yale ambayo ungeyatoa wewe
 
You must be joking, mtoto wa miaka 4 unampeleka shule ya bweni! Kama unampenda mwanao nakuomba usifanye hili kosa.

Tafuta alternative nyingine mbona day care centers zipo nyingi tuu siku hizi. Why ship off your child away from home at a such tender age when her first need is your love and care?
 
ni ushauri mzuri sana kwetu sisi wazazi juu ya malezi bora ya watoto wetu.
 
If you love your son/ daughter, don't. You do not every try to think, no matter familia imevugika vipi, the last option na alternative haiwezi kuwa hiyo. Mtoto unampoteza aisee, n bora uniletee mm, asome akiwa anaenda na kurudi home. Ukimpeleka, mwezi kanaanza to withdraw from you.usijaribu ndugu.
 
Nimetambua kwa nini wanafunzi wengi hurudia mtihani. Mleta mada anaomba kufahamishwa shule nzuri ya boarding na wala hajaomba ushauri ampeleke binti yake boarding au la. Tumtajia shule kwanza na ushauri ufuate chini ya jibu sahihi.

jaribu: Angelico Lipan School, hii ni ya masista wa Franciscan Sisters of the Lord (Osterbay kuelekea Mbauda). Ila sidhani kama wanapokea boarding kwa wanafunzi wa shule ya awali
 
Hakuomba ushauri,ameuliza ni shule gani nzuri kwa mtoto wa umri huo?
Anayejua shule nzuri atiririke hapa.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hata iwe nzuri VP?u HV 2 raise ur child alone itakupa time yakumjua mwanao well
 
Nimetambua kwa nini wanafunzi wengi hurudia mtihani. Mleta mada anaomba kufahamishwa shule nzuri ya boarding na wala hajaomba ushauri ampeleke binti yake boarding au la. Tumtajia shule kwanza na ushauri ufuate chini ya jibu sahihi.

jaribu: Angelico Lipan School, hii ni ya masista wa Franciscan Sisters of the Lord (Osterbay kuelekea Mbauda). Ila sidhani kama wanapokea boarding kwa wanafunzi wa shule ya awali

Na kweli!!!!

Naona umetaja shule halafu ushauri kwa chini!!!
 
Nimetambua kwa nini wanafunzi wengi hurudia mtihani. Mleta mada anaomba kufahamishwa shule nzuri ya boarding na wala hajaomba ushauri ampeleke binti yake boarding au la. Tumtajia shule kwanza na ushauri ufuate chini ya jibu sahihi.

jaribu: Angelico Lipan School, hii ni ya masista wa Franciscan Sisters of the Lord (Osterbay kuelekea Mbauda). Ila sidhani kama wanapokea boarding kwa wanafunzi wa shule ya awali
Mkuu,
Watu wengi tumeangalia implication ya mchakato mzima, sio swali lake, maana tunaishi katika jamii na tunajua kitakachofuata!...cha msingi hapa ni kudiscourage kabisa suala la kumpeleka mtoto kwenye shule za hivyo, na pia hatuko kwenye mtihani hapa!

Pili, suggestion yako kuhusu shule ya Fransiscan Sisters/Angelico Lipani, inaonyesha hujui kabisa kuhusu shule hiyo na wala hujaitembelea lkatika siku za karibuni!
Wanangu nilikuwa nimewapeleka shule hiyo lakini nilienda kuwahamisha wote baada ya sababu zifuatazo:

1. Darasa moja linakuwa na watoto 50, na ukitaka mwanao afuatiliwe ni lazima uongeze kitu kwa kila mwalimu wa somo, apart from ada!

2. Kama wewe kabila lako si MMBULU imekula kwako, maana asilimia 68 ya walimu wa pale ni Wambulu kutokana na fact kwamba Mwalimu Mkuu alikuwa Sista wa kabila hilo, na aliajiri walimu almost wote wa kabila lake!. Ukitaka mtoto wako afuatiliwe vema darasani lazima uongee kilugha na Mwalimu wake, tofauti utaishia kupoteza hela.

3. Huyo Sista wa Kimbulu aliivuruga shule kabisa mwaka jana baada ya kukomba 70m kwenye account ya shule na kutoroka na kijana mdogo wa kiume na kuelekea kusikojulikana!
Shule ilikosa mwelekea na harakaharaka Wajanja tukaondoa watoto wetu!

Narudia tena, Mleta mada tafadhali usithubutu kupeleka mtoto wako boarding kwa sababu yoyote ile!
 
Nimetambua kwa nini wanafunzi wengi hurudia mtihani. Mleta mada anaomba kufahamishwa shule nzuri ya boarding na wala hajaomba ushauri ampeleke binti yake boarding au la. Tumtajia shule kwanza na ushauri ufuate chini ya jibu sahihi.

jaribu: Angelico Lipan School, hii ni ya masista wa Franciscan Sisters of the Lord (Osterbay kuelekea Mbauda). Ila sidhani kama wanapokea boarding kwa wanafunzi wa shule ya awali

Mkuu Ndachuwa, si kwamba watu hawakuelewa mleta mada anataka nini. Wameelewa sana ila wanamshangaa ni kwa nini atake kumpeleka mtoto wake wa miaka 3 boarding school? Na mimi naungana nao kumshangaa huyu mwenzetu. Kwa nini umpeleke mtoto mdogo hivyo boarding?

Tiba
 
Ckia mlete hapa Amani Vumwe iliyoko hapa Mwanga Kilimanjaro .
Ucjali kuhusu malezi kwani i can take care of your daugter kwani i am a teacher here!
 
Nimetambua kwa nini wanafunzi wengi hurudia mtihani. Mleta mada anaomba kufahamishwa shule nzuri ya boarding na wala hajaomba ushauri ampeleke binti yake boarding au la. Tumtajia shule kwanza na ushauri ufuate chini ya jibu sahihi.

jaribu: Angelico Lipan School, hii ni ya masista wa Franciscan Sisters of the Lord (Osterbay kuelekea Mbauda). Ila sidhani kama wanapokea boarding kwa wanafunzi wa shule ya awali

Kwanza hilo wazo la kumpeleka mtoto miaka 4 boarding nalipinga kwani nimeona madhara yake hivyo siwezi kumshauri ampeleke mtoto wake boarding.

Nimempa ushauri ampeleke mwanae daycare centre au chekechea ya karibu na yeye alipo kwa sababu ya umri mdogo wa mwanae.
 
Tena, tungemwambia au kumtajia shule ipi nzuri kwa mtoto wa umri huo, Angekuwa attracted kumpeleka MWANAE huko, kwa mtiririko wa maoni jinsi ulivyo, raia hawakutaka hata kumfahamisha shule, why? Because it's totally not right kumkabithi mtoto mdogo namna hii kulelewa na walimu sijui matrons.
 
Ckia mlete hapa Amani Vumwe iliyoko hapa Mwanga Kilimanjaro .
Ucjali kuhusu malezi kwani i can take care of your daugter kwani i am a teacher here!
Jamaa anataka shule, siyo mtu binafsi wa kumlea au Mwalimu mmoja.
Ukimlea wewe utamfundisha aina yako binafsi ya malezi, na si anayotegemea mzazi.
 
Ndg,
Hakuna shule nzuri kuliko ndani ya familia.
Najua kuwa huenda umefarakana na mama-toto, au huenda ulizaa huyo toto nje ya mahusiano rasmi, lakini kama imeshindikana kbsa bora huyo mtoto umpeleke hata kwa dada au shangazi zako kuliko kumtelekeza kwa Mwalimu-Dunia.
Nitakupa mfano tu, kuna shule Arusha inaitwa St Constantine, kwa nje na kitaaluma ni First Class, of course hata kwa bei, na ina watoto wa boarding hadi wa umri huo ma mtoto wako.
Lakini ndg yng, ukiingia kule ndani kabisa ukachunguza, machozi yatakumwagika, na kama uko short-tempered kama mimi utabeba mtoto wako urudi nae nyumbani.
Mh wala si uongo kaka..watoto wanagonga safari beer..yani ni hatari nyingine ni ile ya shinyanga savana kule ndio hatari aswaa watoto wanakuwa lesbian na wanaanza relationship wakiwa wadogo..me nilisema nitakaa na wangu nijilaumu mwenyewe kuliko kuipa dunia inisaidie kuwalea..
 
Back
Top Bottom