inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 17,715
- 17,960
Achieve anything!!...unadhani lengo lao ni kushika no 1 au kuwa top ten!!?..Unanifanya nicheke sana ujue ππππ
Labda nikuulize hivi; kwa hiyo tumetoka kwenye hoja ya idadi ya candidates, tukaenda kwenye hoja ya kwamba Islamic schools hazibagui zinabeba hata wanafunzi wenye uwezo duni, sasa tuko kwenye hoja ya udanganyifu kwenye mitihani!?
Narudia tena kusema, kama mindsets za aina hii ndiyo zinasimamia taasisi za elimu zilizo chini ya dini ya Kiislam; never expect miracles. Mpaka kiama itafika these schools will never achieve anything better.