Unaweza usiamini ukiangalia shule zetu kongwe zinavyoburuzwa na sekondari za kata zenye miundombinu isiyo rafiki kwa wanafunzi, hazina chakula cha mchana, watoto wanatembea umbali mrefu hata ruzuku inayotolewa kwa shule hizi haitoshi.
Ukilinganisha na shule kongwe nchini ukiacha zile za vipaji. Pugu sekondari ni ya 44 kati 44 mkoa wa Dar es salaam na ya 627 kati ya 644 kitaifa, Jangwani ni ya 608, Bwiru boys 595, Ifakala girls 555, Korongwe Girls 540, Tambaza 556, Kisutu 520, Tanga Tech 503, Morogoro Sec. 468, Loleza 492, Iyunga 570, Ifunda Tech 522, Dodoma Sec 443, Minaki 445, Bukoba 512.
Karibu shule zote kongwe hata zile ambazo sijaorodhesha zimeshindwa kuzidi hata nusu ya Shule zote 644 zilizofanya mithani hii.
Serikali imezifanyaia ukarabati wa mamilioni ya pesa na bado inapeleka ruzuku kubwa sana kwa shule hizi pamoja na kuzipangia wanafunzi wenye ufaulu mzuri kidato cha 4 ukilinganisha na shule za kata ambazo zimeanza kupangiwa wanafunzi wa kidato cha 5.
Ukiangalia shule hizi zimeendelea kuwa na matokeo mabovu kwa miaka mingi mfululizo na wasimamzi wake yaani wakuu wa Shule hizi wakiwa walewale wanaorudisha mgao wa ruzuku kwa mamraka za uteuzi (mabosi wa Tamisemi).
Hatua ifike sasa shule hizi zipangiwe mwisho wa nafasi kwenye mithani hii.
Kwa mfano kwa kuwawekewa mwisho wa nafasi ya ufaulu na wakuu wa Shule wasipopata nafasi hizo basi wakuu hao wanyanganye madaraka.
Kwa mfano shule Kongwe itakayoshika nafasi ya zaidi 200 kati ya 644 basi Mkuu avuliwe madaraka, hii itasaidia wakuu wa Shule kushirikiana vizuri na walimu kusimamia taaluma.