Shule kama hii bongo ipo jamani...

Neno 'KAA UCHI' limekuwa fabricated. Ukiangalia vizuri background yake imefutwa futwa, iko tofauti na background ya maneno mengine.
Mkuu Idimi jina Orignall hilo halijachakachuliwa kabisa hilo jina linatumika huko mombasa

Mmmh picha imechakachuliwa.
bibie MadameX; Picha haijachakachuliwa ipo poa kabisa huoni hata kwa macho yako?

hata maandishi yake ni membamba kuliko hayo ya chini.
Mkuu Ringo Edmund Maandishi yapo poa huoni yanavyofanana na wino ni mmoja mweusi mbona Wa-Tanzania ni watu wabishi ehhh hata macho hamuoni jamani?

Mbona ni jina kama majina mengine?
mkuu Mtoto halali na hela ni kweli jina kama majina mengine halifai kutumika kwa jina la shule sio heshima kabisa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
hahaha...yakhe hayo ndio aina ya majina ya wenzetu..
mfano Mchambawima, Kibanda maiti, Sitaki shari n.k
Ami watu8 Watutukana yakhe unatupa jina baya yakhe kila kitu basi unguja tu? kwanini husemi Tanga au dar au mtwara yakhe??????????????
 
Last edited by a moderator:
Ami watu8 Watutukana yakhe unatupa jina baya yakhe kila kitu basi unguja tu? kwanini husemi Tanga au dar au mtwara yakhe??????????????


Dar, Tanga kote nimeishi sheikh wangu lakini Zanzibar haswa Unguja wana majina ya hatari sana...ila kwa siye tulioloea Pwani yote twaona kheri tu!!
 
Last edited by a moderator:
Between A - U hapo katikakati kuna alfabeth moja imefichwa!
 
Hiyo ni KAALUCHI PRIMARY SCHOOL. Wajinga wameifuta ''L'' hapo katikati.
 
Vip KUNDUCHI Primary school , hili neno lilitokana na nini wakuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…